Majaabu ya jina JK na jina Anna

Majaabu ya jina JK na jina Anna

Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao

Unaweza kufafanua kidogo kufanikiwa sana kwa mtazamo wako unamaanisha kitu gani?
Ukisema Juma Kapuya (JK) alikua waziri, kumbuka kipindi chake palikua na mawaziri wengine pia, je, ni kweli kwamba Kapuya alifanikiwa sana kulinganisha na mawaziri wengine wa kipindi chake kwa kuwa tu jina lake ni JK?
 
Hahahaaaaa! Vipi WS na FM a.k.a Wafadhili wa Viroba!
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Tanzania 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Juma Kapuya - Waziri wa Tz 2000's
Joseph Kabila - Rais Congo Kinshasa 2000's
Joseph Kony - Kiongozi wa waasi Kongo 2000's
Juma Kaseja - Kipa maarufu Tz 2000's
Jamhuri Kihwelo - Kocha maarufu Tz
Jini Kabula - Muigizaji mahiri wa bongo movie
Juma Kassim - Rapper wa bongo fleva

Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina

Umejitajidi sana mwanangu
 
Back
Top Bottom