Majaabu ya jina JK na jina Anna

Majaabu ya jina JK na jina Anna

washwa washwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
1,613
Reaction score
728
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Tanzania 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Juma Kapuya - Waziri wa Tz 2000's
Joseph Kabila - Rais Congo Kinshasa 2000's
Joseph Kony - Kiongozi wa waasi Kongo 2000's
Juma Kaseja - Kipa maarufu Tz 2000's
Jamhuri Kihwelo - Kocha maarufu Tz
Jini Kabula - Muigizaji mahiri wa bongo movie
Juma Kassim - Rapper wa bongo fleva

Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Marekani 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina

Hapo kwenye red.....ulikurupuka usingizini mkuu!
 
Naona mheshimiwa unajitahidi kushindana na Mulugo kwa umbumbumbu.Mwenzio alisema kwa kujiamini kabisa kwamba Muungano wa Tanzania unahusisha nchi mbili za Tanganyika na Zimbabwe na wewe umeamua kumjibu naona,Nyerere alikuwa Rais wa Marekani?Au ndiyo umetoka bush hivi karibuni na kuanza kuparamia mambo ya mjini nini?Kama si hivyo basi utakuwa ndiyo lile zao la divisheni faivu a.k.a divisheni sifuri kupitia mtambo wa kuzalisha sifuri ujulikanao kama shule za kata.Pole ndugu yangu,rudi tena darasani ukafute ujinga hujachelewa.
 
kama ulikuwa unataka kuwa na idea nzuri lakini hukijijua.
1.hatujaelewa tuwape watoto majina yatakayokuwa na kfup cha jk je kama mzaz jna lake x k.
2.utafit wako umeandika kana kwamba unachowaza wewe ndicho xix tunachowaza (fafanua)
my take jina lako la #washwa washwa linaweza likawa ndo sababu
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Marekani 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina

Ndo mnaponifurahishaga watoto wa Lumumba mkitaka ku force buku 7, mnatiririka kama mmechomolewa vichwa.
 
Kwa taarifa yako, watu wenye majina ya ufupisho wa JK wamefanikiwa sana na kujulikana sana. Haya ni baadhi yao
Jakaya Kikwete - Rais wa Tanzania 2000's
Jommo Kenyata- Rais wa Kenya 1970's
Julius Nyerere - Rais Marekani 1960's
John Komba - Mbunge wa Tz 2000's
Joyce Kiria - Mjasiriamali Tz
Unaweza kuongezea na wengine. Ni the same na majina ya Anna kwa wanawake, mfano
Anna Mkapa
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anna Kilango
Anna Abdallah
Anna Leliya Nkya
Unaweza ukaongezea na wengine.
HITIMISHO.
Jina unalompa mtoto lina mahusiano makubwa sana na mafanikio kwa hiyo kabla ya kumpa mtoto wako jina fanya utafiti wa hilo jina

Embu fafanua JOYCE KIRIA amepata mafanikio gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom