InatishaHabari nilizozipata kupitia redio Clouds ni kwamba kuna shimo moja pale makaburini ambapo wamekutwa watoto 11 wakiwa wamekufa bila kuzikwa kistaarabu, haijulikani nani kafanya hivyo na kwa sababu gani, mwenye taarifa zaidi hatuhabarishe juu ya tukio hii la kushangaza
Habari nilizozipata kupitia redio Clouds ni kwamba kuna shimo moja pale makaburini ambapo wamekutwa watoto 11 wakiwa wamekufa bila kuzikwa kistaarabu, haijulikani nani kafanya hivyo na kwa sababu gani, mwenye taarifa zaidi hatuhabarishe juu ya tukio hii la kushangaza