Maiti kucharazwa bakora.!

Kwetu umakondeni ukijiua unazikwa kama HERO- tafsiri yake ni kuwa wewe ni mtu usiyependa mchezo na si legelege. Kwani uliwahi kusikia mtu legelege anajiua?! Yu radhi awe ombaomba kuliko kifo- kazi kwenu.

Hakunaga!
 
ukisha kufa umekufa hata ukicharazwa viboko
kazi bure wangewasaidia kwa njia nyingine
na si kusubiri wakifa wawachape



 
kuchapa maiti viboko ni kuongezea distress familia ya marehemu. mtu chake apendacho bana, ndo maana tunataka wapendwa wetu wakifa wahifadhiwe kwa heshima zote. kama mtu alidiriki kujiua,amefikia ukomo wa kujihurumia kiasi kwamba viboko sio issue!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…