Soma habari yote kabla ya kutoa comment. Madaktari walithibitisha kuwa ameshakufana na kuruhusu kwamba maiti apelekwe mortuary kama ifuatavyo hapa chini:
Wakati ndugu yangu alipofariki recently how l wished muujiza kama huo ungetokea! Yaani hata siku ya pili tunavalisha Nguo ready kwa safari kuelekea kwetu bado nilikuwa nawish pamoja na kwamba mwili wake ulikuwa na baridi ya kutoka kwenye jokofu!
Mungu ampe miaka zaidi huyo mkaka; ni relief kubwa kwa familia! Haijalishi ni muujiza au alikuwa kwenye coma kikubwa ni mzima sasa!
Mauaza uza yaibuka mjini Iringa baada ya mgonjwa ambaye alifika kufanyiwa maombi kwa mmoja kati ya wahubiri maarufu mkoani Iringa kukata kauli yake akiwa nje ya ukumbi huo maarufu wa maombi mjini hapa na baada ya kufikishwa chumba cha kuhifadhiwa maiti (Mochwari) katika hospital ya mkoa wa Iringa maiti hiyo iliamuka na kupelekea ndugu kuupeleka mwili huo kwa madaktari kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Kukata kauli ni sawa na kufa? Kuna kitu katika stori yako kina miss....mwili umetolewa eneo la ukumbi (alipokatia kauli!) na kupelekwa mochwari moja kwa moja bila kupitia kwa daktari? Kama ni hivyo hayo ndio yalikuwa mauzauza!..Hata hivyo alisema kuwa akiwa katika foleni ya kuingia ndani ya ukumbi ghafla mgonjwa huyo aliomba kupelekwa chooni na kabla ya kuingia chooni alikata kauli na hivyo kulazimika kuupeleka mwili wake mochwari katika hospital ya mkoa ambako kabla ya kuingizwa Mochwari ghafla marehemu aliamuka na kuanza kurusha rusha mikono yake hali iliyopelekea kurudishwa tena mapokezi kwa ajili ya kuchunguzwa zaidi na kumtaja mjane wa marehemu Bi Amina Ramadhan alimtaja marehemu kuwa ni Gerald Tadei Ngusi
Maiti haipokelewi mortuary mpaka dr a_certify! Stori haijatulia hii