Maisha

Wapo binadamu wana roho mbaya kuliko shetani aisee dunia hii na ni wanadamu kama hawa, hasa wamama wa Kipare na Kichaga akiwa Single mother
 
That's how the nature works, darwinism every where..!

Siwez mlaum bimkubwa, hata huyo maid angekuwa boss na angefanya hivo hivo..!
 
Hawa wasio na ndoa wanafeli wapi
Japo jamii yetu inamuona mwanamke ambae hajaolewa ni kama muhuni fulani, ila kiuhalisia kuolewa wala sio suala la kilazima.

Kuolewa ni maamuzi tu binafsi bhana.
Kuna walioolewa ila maisha wanayoishi ndani ya ndoa zao ni kama vile wako single!
 
Ukisikia UKAFIRI ndio huu sasa...

Watu WAELEWE kuwa UKAFIRI ni UNYAMA na UKATILI dhidi ya binadamu ,wanyama ,wadudu ,mimea ,miti na ardhi.....
 
Kama ni kweli familia hiyo ni ya kipumbavu! Halafu limevaa na ushungi bila aibu!
Ushungi ni kutekeleza sheria ya UISLAM kwa mwanamke....haumfanyi MTU awe MCHAMUNGU.....

Kwa kutoelewa haya ndio maana WAOVU wanajifichia humo na wanaohadaika na wavaa ushungi huzidi KUHADAIKA....

Uchamungu ni KUMPENDA mungu kwa kuyatendea MEMA mazingira na kila kilichomo ndani yake.....

MCHAMUNGU anajulikana na Mwenyezi Mungu pekee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…