Sio siri hii picha imenitoa kwenye mood, sipati picha huko nyumbani huyu bint anaishije 😳Inasikitisha sana. Huo ni ubinafsi wa hali ya juu.
Vuta picha anavyo tendewa uko home.
Nilikutana na video moja dada mmoja wa kikenya alikuwa Saudia, alikwenda kufanya kazi za ndani lakini wakamgeuzia kibao, wakimwambia awe analalwa na mbwa kila siku. Miaka miwili yote kazi yake ikawa ni kufungiwa chumbani, wanampa dawa za kupandisha hamu ya tendo, na mbwa anamwingilia. Na siyo mbwa mmoja, anasema ni mijibwa mikubwa, asubuhi linaletwa moja, jioni jingine.Na shungi lake 😏
Hawa wavaa mishungi wengi wana unafki sana sijui kwanini??
Baadae wakiwekea vitoto vyao sumu wanaanza kujiliza pumbavu..!!
Kweli kabisa hasa hasa ukute ni mama wa kirangi kutoka kondoa.Wamama wenye sura za namna hiyo wanakuwaga na rohoo mbaya sana.
we ni waFB sio?Mtakimbilia kuhukumu hapa 😂😂 mitandao ilivyojaa mihemko usikute huyo binti hata hawafahamiani au picha imeeditiwa kwa sababu kwa akili ya kawaida si huyo binti angemuacha nyumbani ? unamletaje binti hadi anakaa hapa then nyie mnajisosomola
Au ni igizo mtu kascreenshot kipande akaweka tiktok ! Mnasemaga wa FB hatuna akili ila Tiktok huko ndo imejaa misukule walah.
Sikatai haya mambo yapo lakini hii ni chai 😂
Inauma sana.Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja
Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣View attachment 3289936
Ni kweli kabisa! Nashukuru Mungu kwangu nilishayadhibiti haya na madam akanielewa ninavyotaka akaenda humo humo! Tunachokula ndicho atakachokula! Tena madam akaenda mbali zaidi akinunulia watoto nguo na binti wa kazi atapata sawa na watoto! Bora hii picha isiwe na ukweli!Hapo tatizo sio baba wala watoto, hapo tatizo ni mama. Wamama wengi huwa na roho mbaya sana kwa wadafa wa ndani.
Yaani kama ulikiwepo, mshahara wake kwa muda, nguo namnunulia na wanangu, chakula anakula anavyopenda. Siku moja akaleta bwana ndani. Akajificha mabandani baada ya mwenyewe kuingia. Jamaa akasepa kipakapaka, unajua paka akikimbia kiwiziwizi,Hao wadada mtu mwenye roho chafu kama hiyo ndio wana kaa na kudumu miaka kwa miaka ila ishi nae wewe ki ubinadamu na utu vituko kila leo.
Yaani ni vita kila mahalaHahahaha
Ungekuwa raisi na ukaona picha hiyo ungefanya je? Kusuluhisha Hilo na kuumbua wengine?Sio siri hii picha imenitoa kwenye mood, sipati picha huko nyumbani huyu bint anaishije 😳
Sawa, siwezi pinga maamuzi yakoNdio uhalisia ulivyo
Yeah mimi ni wa FB mkuu ! 😂 Kiranja mkuu kabisa wa wajingawe ni waFB sio?
so na wewe ni miongoni mwa mapoyoyo!
Chakula chenyewe mavi tu...........ukute hapo ni vi chips dume na mitomato ya dumu unakosa swawabu kwa ujinga na ulimbukeni wa kuku kibudu ..........ama kweli nimekutolea povu ila nisamehe mpumbavuHiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja
Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣View attachment 3289936