Maisha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,341
Reaction score
829,491
Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja

Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo?
Nipe jibu kweny comment 🫣
 
Kwann wasingemuacha nyumban

Ila haya yapo sana,sjui watu huwachukuliaje wenzao,hasa familia za dar

Kuna familia moja kila wkend jamaa alikuwa anatoka na mkewe walikuwa na mtoto mdogo na mabeki tatu wawili

Wanarud na manyama yao na machips yao lakin nyumban wafanyakaz watakula wali maharage

Bas watakula hayo machips yao yakibak ndo wanawaita hao wafanyakaz waje kuyamalizia,nilikuwa nashindwa kuelewa kwanini wasifike wakawapatia hata kidogo kwenye hizo chips kuliko kula kwanza afu mwenzio unampa mabak
 

Hii ni hatari kubwa sana kwa Usalama wao.
Wanajichimbia kaburi lao wao wenyewe ili waweze kuzikwa wangali bado wapo hai!

Kiusalama duniani kote kabisa inajulikana Wazi kabisa kwamba the most dangerous enemy in your life is your close-friends.

Huyo mama bado hajaijua hatari iliyopo mbele yake endapo kama huyo Mfanyakazi wake wa ndani akiamua kufanya shambulizi la malipizi.
Atakuja kulia kilio cha mbwa mwizi, mdomo juu!
 
Afu mshahara elfu 60 lakin hapendi kuona mtoto wa watu kapumzika,ila watu tunaroho mbaya sana
 
Kwanini huyo awe Hausi gelo na siyo mwanawe huyo dada? kwanini kugeuka kwa huyo bintni kiashiria ya kuwa anashanyashwa?...
 
Mtakimbilia kuhukumu hapa 😂😂 mitandao ilivyojaa mihemko usikute huyo binti hata hawafahamiani au picha imeeditiwa kwa sababu kwa akili ya kawaida si huyo binti angemuacha nyumbani ? unamletaje binti hadi anakaa hapa then nyie mnajisosomola

Au ni igizo mtu kascreenshot kipande akaweka tiktok ! Mnasemaga wa FB hatuna akili ila Tiktok huko ndo imejaa misukule walah.
Sikatai haya mambo yapo lakini hii ni chai 😂
 
Hapo tatizo sio baba wala watoto, hapo tatizo ni mama. Wamama wengi huwa na roho mbaya sana kwa wadada wa ndani.
 
Kama ni kweli familia hiyo ni ya kipumbavu! Halafu limevaa na ushungi bila aibu!
 
Mfungo umeisha😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…