Maisha Yangu na VVU mwilini

Nadhani wewe ni mfano mzuri katika jamii yetu. Watu wengi wana tabia ya kuambukiza wale ambao hawajaathirika makusudi eti tufe wengi! Hongera kwa ujasiri ulionao na ushauri wangu ni kwamba jitaidi kuepuka maambukizi mapya endapo utampata mpenzi ambaye ni positive, belive me kama utafuata masharti utakuwa okay kabisaa!Baba yangu mdogo anashi ktk hiyo status now ni miaka kumi na tano and he is more than okay.

Be blessed brother!
 
Mzee hongera kwanza kwa kujijua manake mimi nimeshindwa kufanya hivyo nini hasa kilichokusukuma hadi akaamua kwenda mara kwa mara kupima.manake sio kawaida kwa mtu mwenye mke
 
nimekubali kuna watu waaminifu pia asante mkuu! kuna mtu alikuwa anahojiwa tbc/itv sikupuki vizuri kwenye vipindi vyetu vya ukimwi yeye ni positive na aliingia kwenye mahusiano akiwa hivyo na na binti alielewa lakini hadi leo hii wanandoa ya zaidi zaidi ya miaka mitatu na wnawatoto mwana mkea akiwa negative sasa wataalamu wa afya najua wapo wanaweza kutupa mchango mkubwa hapa
 
Afadhali umwambie huyo mpenzi wako wa zamani, na wa sasa.
Baadae itakua ni bora umpate huyo positive kama wewe
ukijenga uhusiano na mtu negative kutakua na stress za kila saa
uoga wa kuambukizana, au wasiwasi wa kwamba anakuonea huruma etc.
All the best, and bravo for living with a positive attitude
 
Duh ndugu yangu nashukuru Mungu umekubalina na hali halisi,nakuomba sana jitahidi kutoa elimu kwa walioathirika wajiepushe kuwaambukiza wasioathirika.

Nina rafiki jirani ambae alifiwa na mke wake miaka minne iliyopita kila mtu alijua mama kaondoka na huu ugonjwa wa kisasa mwaka huu jamaa katoka kwa Iringa na mke mpya kipusa cha nguvu tayari ameshakibebesha mimba kila nikikutana na huyo mwanamke roho yangu inalia utadhani tayari kesha kufa.


Umewapima acheni hzo bana watanganyika!!???
 
Pole sana mkuu na mtegemee Mungu na kufuata tu dayati kwani utadumu kuliko hata mtu ambae ni -ve
 
Umenifurahisha sana na ujasiri wa ajabu ulio nao,hakika Mungu yu pamoja nawe.
Cha msingi muombe sana Mungu akupatie mwenye mapenzi ya Kweli asije kukupenda kwasababu una kitu cse hapo litakua janga lingine
 
Pendo ni ktu chema duniani kinapita yote linaviunganisha vyote vema.halina ubaguzi ni ukamilifu wa tabia zote njema ...okoka mwaamini yesu atkuponya.....ila usiambukize .amen
 
hongera sana ndugu...!hasa hasa kwa kukubaliana na hali halisi...!

again...!baada ya kukubaliana na ukweli kifuatacho ni maisha ya kawaida...
 
Nakupa hongera ingawa nadhani sio kazi rahic kumpata binti negative, endapo utampata, mpende kama mboni ya jicho lako
 
mimi sikushauri kabisa kutafuta patna hasa wa ngono!

madaktari wanakataza kabisa sex wakati ukiwa na virusi kwa sababu utazidi kwambukiza mwenzio, hata kama nae ana virusi kama wewe!

kumbuka, HIV imegawanyika kwenye makundi mawili, H1 and H2 ambapo, H1 ina virusi zaidi ya 12.

hivyo basi, endapo utamgegeda mwenzio kwa kujipa moyo kuwa wote mmeathirika, itakuwa ni kuendelea kujiua na kujimalizia nguvu katika mwili..

pia, endapo mtagegedana, mtakuwa mnazidi kuambukizana virusi tofauti tofauti ambavyo vitaongeza kasi ya mashambulizi ya CD4 katika miili yenu!

BWANA akutie nguvu mpendwa!
 
Daaah inasikitisha sana! Kweli we are both victims wa hili janga. Ni juz tu nilikua hospital fulan hivi dokta akanambia lile jengo loote lililojengwa kwa msaada wa korea linahusiana na watu walo +. Daah mwili uliniisha ganzi!
 
mimi sikushauri kabisa kutafuta patna hasa wa ngono!

madaktari wanakataza kabisa sex wakati ukiwa na virusi kwa sababu utazidi kwambukiza mwenzio, hata kama nae ana virusi kama wewe!

kumbuka, HIV imegawanyika kwenye makundi mawili, H1 and H2 ambapo, H1 ina virusi zaidi ya 12.

hivyo basi, endapo utamgegeda mwenzio kwa kujipa moyo kuwa wote mmeathirika, itakuwa ni kuendelea kujiua na kujimalizia nguvu katika mwili..

pia, endapo mtagegedana, mtakuwa mnazidi kuambukizana virusi tofauti tofauti ambavyo vitaongeza kasi ya mashambulizi ya CD4 katika miili yenu!

BWANA akutie nguvu mpendwa!

Huwa wanapewa ushauri how to gegedana bila kupeana maambukizo mapya kubwa na la msingi ni kumanage kuandaana vya kutosha especially kwa upande wa mwanamke....................i know couple imelast for about mwaka wa tano sasa healthly and happier til this moment
 
Back
Top Bottom