I wonder🤷🤷, aloo.Sasa imekuwaje msela kalala pembeni au msela anaeliwa nae😁
Wewe ni mbogaI wonder🤷🤷, aloo.
Chora tu maana wewe hakuna anayekufahamuAisee,mi nachora ya Mbappe bora nionekane chawa tu. Saint Anne 😂🙉
Aisee,mi nachora ya Mbappe bora nionekane chawa tu. Saint Anne [emoji23][emoji86]
Tunawaonea vijana wao wameiga tuu , culture ya uchawa iko deep na imekuwa kama culture ya nchi na viongozi wakubwa ndio chawa wakubwa na wengine wameweza hata kuwaita wakubwa wao mungu, na siku hizi kupata uongozi uchawa ndio qualification kubwa, mijitu mizima na ndevu zao iko busy kumuita Raisi mama kila siku na kudanganya wananchi mama katoa pesa, mama katoa hiki, mama mama mama etc culture ya ovyo sana sijui imetoka wapi hii
Hahaha kwamba a calm down
Halafu kinachokera yaani iyo michawa inaona siifa kujiita hivyo huku ina mitoto mikubwa tuu. Huyo levo sijui anajiskiaje anapomsikia babake akisema anatamani kuzalishwa na mondi endapo angekuwa manzi. Kinyaa.Naona mwishon hapo
umekazia na picha ya machawa nguli nchi Hii[emoji28]
Aisee umekula mbogaMimi mbona nimelipa 30,000 kula trakooo hao wa buku wapo wapi?🤣 halafu kuna mke wa mtu kataka kunipa buree. Na alikuwa na trakooo😋 wewe dada nitafute tena namba yako sina😂
Mkuu tena inabana hatari mdudu kaingia kwenye kokwa la embe.Aisee umekula mboga
Aisee hili nalo naomba Serikali ilitazame *kuuziwa kijambio kwa 30k wakati huku Tandika ni 1k tu unapataMkuu tena inabana hatari mdudu kaingia kwenye kokwa la embe.
Ngese kweli😂Aisee hili nalo naomba Serikali ilitazame *kuuziwa kijambio kwa 30k wakati huku Tandika ni 1k tu unapata
Noma sana!Aisee hili nalo naomba Serikali ilitazame *kuuziwa kijambio kwa 30k wakati huku Tandika ni 1k tu unapata
Hivi nimeshatafuta picha ya kuchora Hawa vijana wanaogaragaza mioyo yetuAisee,mi nachora ya Mbappe bora nionekane chawa tu. Saint Anne 😂🙉
😂😂😂❤