Maisha yanazidi kuwa ghali kigali

Maisha yanazidi kuwa ghali kigali

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,146
Wananchi wa kawaida wana lalamika sana kuwa gharama za maisha zipo juu sana, na wanawasiwasi kuwa huu mzozo ukiendelea hali itazidi kuwa mbaya zaidi.

Matumizi ya bandari ya mombasa kwao wanaona kama vile hukumu ya kifo, wanasema huko ni mbali sana , hatima ya maisha ya kueleweka yanategemea mahusiano mema na majirani zake hususan Tanzania.

Wanaogopa kuyaweka haya hadharani maana huko baba mwenye nyumba ni mkali sana.
 
Mwambie JK anajua zaidi wanagombania nn
 
Huyu Kagame mbona ni msumbufu sana huyu Mwanamke!!!
 
hali halisi ndio hiyo wananchi wanagugumia kwa maumivu, ila hawana pa kuyasemea haya
 
Anza na matatizo yako kamwone dentist akusaidie hayo mapengo yako yaliyojaa tumbaku mwitu.
 
Na huyu naye ni Great Tinker khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
huyu msamehe bure anafahamika mapenzi yake kwa baba yao
 
wananchi wa kawaida wa Dar es salaam wanasemaje kuhusu gharama ya maisha.?
hapa tunazungumzia kigali, hali inakua tete, we unasemaje kuhusu hilo, maana ndugu zako watakufa kwa njaa bosi wako akiendeleza bifu, halafu watu ninaowazungumzia hapa ni wale wananchi wa kawaida ambao kwao mambo ya sijui drc , sijui bandari ya dar wao haiwahusu...
 
Pole kwao. TZ inaelewa ndio maana haikurupuki kulipiza kisasi. Jipeni moyo, siku za babanu Kagame zimehesabiwa! PK atapita ila Mungu ni wa milele.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
vp kuhusu wananchi wa kawaida wa Dar es salaam wanamaisha mzr au wa kurasin inakopatikana bandari maisha yao yakoje;achen propaganda ninyi.
 
wananchi wa kawaida wa Dar es salaam wanasemaje kuhusu gharama ya maisha.?

Wewe unategemea, kujitenga kwenu na TZ maisha yanaweza kupanda kwamba sie tulikuwa tunawafaidi nini hasa, kama watu wa wilaya ya Ngara wanaoishi nanyi karibu/ mnaopakana nao hakuna hata chembe ya bidhaa za Rwanda wanazozitumia? Sie kwetu maisha ni mdundo tu.
 
Sasa Maisha ya Kigali yanakuhusu nini na unakuja kumwambia nani hapa???
 
wananchi wa kawaida wa Dar es salaam wanasemaje kuhusu gharama ya maisha.?

Wewe unategemea, kujitenga kwenu na TZ maisha yanaweza kupanda kwamba sie tulikuwa tunawafaidi nini hasa, kama watu wa wilaya ya Ngara wanaoishi nanyi karibu/ mnaopakana nao hakuna hata chembe ya bidhaa za Rwanda wanazozitumia? Sie kwetu maisha ni mdundo tu.
 
utafikiri ameshafika hapo kigali.....kuna watu wanatumia Ma------ kufikiria

hili limekuchoma sana, thread nzima umejaza wewe na huyo asiyejitambua, haya ngoja tukuache uendelee kujaza blah blah zako
 
Wananchi wa kawaida wana lalamika sana kuwa gharama za maisha zipo juu sana, na wanawasiwasi kuwa huu mzozo ukiendelea hali itazidi kuwa mbaya zaidi.

Matumizi ya bandari ya mombasa kwao wanaona kama vile hukumu ya kifo, wanasema huko ni mbali sana , hatima ya maisha ya kueleweka yanategemea mahusiano mema na majirani zake hususan Tanzania.

Wanaogopa kuyaweka haya hadharani maana huko baba mwenye nyumba ni mkali sana.

Think before you leap.
Usimtukane mamba kabla hujavuka mto
Usimtukane mkunga wakati uzazi ungalipo
 
Back
Top Bottom