emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 547
Tatizo lake ni hicho anachosemea ni kigumu kwake sasa sijui walimchagulia au alichagua mwenyewe kwa kuiga???????? Solution ongea na wazazi wakupe hizo Ada ili wakuachie maamuzi yako.NB usifanye maamuzi pasipo kujua anayekulipia ada utapata laana hata hiyo biashara yenyewe utaiona kama Bunsen burner ya kwenye Chemistry.