Elijah Steel
Senior Member
- May 17, 2016
- 118
- 166
Unaweza kusoma na kufanya biashara at the same time. Biashara ni ngumu may be Mara 20 zaidi ya ugumu wa shule. We chamsingi anza biashara ndogondogo tu ata kwa mtaji mdogo hv utaelewa jinsi biashara ilivo. Anza na mtaji mdogo ukitumia ada utashindwa tu lazima maana ada ukiitumia vinginevyo ni LAANA