Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,576
- 6,580
- Thread starter
-
- #81
Sawa mkuu nimekuelewaMkumbushe huyo ^nduguyo^ ajfunze kuweka nukta kila baada ya sentensi moja kamili. Au ndivyo anakufundisha kujichanganya mjini, maana nawe ushamwiga tayari?
Ahsante nduguKila la kheri, ngoja waje kukupa miongozo...
Ni kweli kaka ahsante pia kwa ushauri mzuriMatatizo mengi ya ajira katika nchi yetu yanasababishwa na vijana kung'ang'ania dar badala ya mambo kuyaendea kombo kuna jamaa mmoja alipata kazi serikalini akapangiwa shinyanga akasema mi kijana siwezi kuishi porini huko wanaishi wazee kipindi hicho anafanya kazi private sector mkataba private umeisha kaja boss mpya hajamuongezea sasa hivi anataka kazi yoyote na mke na watoto.
Tusing'ang'anie dar maana mpaka tukija kushtuka mda umeenda na tumeshachelewa.
Una ndugu nae vipi ?Ndio sasa kashaamua mi nitafanyaje na jamaa ni mtu mwenye taasisi kubwa ya kielimu kwa watu wanaofaham kuwa ni kaka yangu wananiita boss, wakishua ila hawajui ugumu wa maisha naopitia. Kifupi sijawahi kupewa hata elfu 10 tu ya kununua suruali toka nifike hapa dar, kuhusu mavazi yote najitegemea na pesa ya kula huwa naachiwa kiduchu sana na kingine huyo kaka yangu bado ajaoa tunaisho wawili tu mimi na yeye. Najiskia vibaya sana maana mtaani watu wanajua nina hela nyingi kumbe sina hata shilingi sometime naona hata aibu kujichanganya hapa mtaani kupiga vibarua coz cv ya brother inatisha na itafanya jamii ishangae kuona mafanya kazi vibarua wakati ndugu yangu yupo njema.
Kingine pamoja nayeye kumiliki idadi yote hiyo ya magari ajawahi kuniruhusu hata kujifunza kuendesha gari mpaka watu huwa wanamwambia kwanini usimuachie dogo mashine nae avimbe mtaani siku moja moja anaishia kucheka tu.
Huko kisemvule Kuna viwanda vya kutengeneza bidhaa gani na bidhaa gani hasa[emoji16vi
Viatu yeboyebo,mabegi,mikanda,Nondo, plastic material,pikipiki , gypsum, Tiles,mabati,maji,cementHuko kisemvule Kuna viwanda vya kutengeneza bidhaa gani na bidhaa gani hasa [emoji1666][emoji1666]
Sasa kama ni jobless unaweza vipi kulipa bills zote hizoFanya nilichokushauri, kama unajuwa kuendesha gari na pikipiki ingia mtaani utanikumbuka.
Bodaboda sasa hivi ndio wanaotesa mtaani, wana quick money za kuhonga kina Mwajuma nchokonowe.
Ukiwa driver ni rahisi kupata mishe za driving project kila siku zipo zinahitaji madereva.
Cha msingi sasa hivi upate take off kianzio kwanza.
Halafu ninayekushauri mwenzako ni jobless nina mke na watoto wanasoma English medium, kuna bill ya Dawasa, luku, Dstv, takataka, ulinzi shirikishi na daily nourishment.
Bongo ya sasa usiwaze kuajiliwa, ajira itakufuata ukiwa tayari upo golini kwako maisha yanasonga.
Una ndugu nae vipi ?
Hii si kawaida
Baba na mama mmojaUna ndugu nae vipi ?
Hii si kawaida
Unaweza kukuta hela za masharti hizo unamlaumu bure bro. We achana naye kama zipo mishe usione noma.Ndio sasa kashaamua mi nitafanyaje na jamaa ni mtu mwenye taasisi kubwa ya kielimu kwa watu wanaofaham kuwa ni kaka yangu wananiita boss, wakishua ila hawajui ugumu wa maisha naopitia. Kifupi sijawahi kupewa hata elfu 10 tu ya kununua suruali toka nifike hapa dar, kuhusu mavazi yote najitegemea na pesa ya kula huwa naachiwa kiduchu sana na kingine huyo kaka yangu bado ajaoa tunaisho wawili tu mimi na yeye. Najiskia vibaya sana maana mtaani watu wanajua nina hela nyingi kumbe sina hata shilingi sometime naona hata aibu kujichanganya hapa mtaani kupiga vibarua coz cv ya brother inatisha na itafanya jamii ishangae kuona mafanya kazi vibarua wakati ndugu yangu yupo njema.
Kingine pamoja nayeye kumiliki idadi yote hiyo ya magari ajawahi kuniruhusu hata kujifunza kuendesha gari mpaka watu huwa wanamwambia kwanini usimuachie dogo mashine nae avimbe mtaani siku moja moja anaishia kucheka tu.
Unauhakika ni ndgu yake wa tumbo moja? au ww hujui unaweza kusaidiwa na mtu ambaye hata sio ndg yako kwa urahisi zaidi kuliko wa tumbo moja?Akili za wabongo ziko demented , yaani eti anamshauri mtu akabebe viloba Kwa bakhresa wakati Kaka take huyo mtu anauwezo Tu WA kumpa kianzio cha hata biashara ndogo Huyu ndugu hapa , Huu ujinga Huu ndio maana wananchi hii nchi wanaishi kama manamba (kutumikishwa zaidi ya punda tena Kwa ujira mdogo Sana ) , aliyewahi kufanya kazi kwenye viwanda vya makanjibai na wachina ataelewa ninaloongea hapa .
Tuache akili za kimasikini waTanzania
Dooh hata kukushika mkono hataki hicho kipapai nini kapigwa na demu wake maana wanawake wa mjini sio poaBaba na mama mmoja
Utakuwa na tatizo sehemu jiangalieNi kaka yangu tumbo moja namaanisha ni baba na mama mmoja na ana gari tatu za school bus na noah moja ya kutembelea na hizo school bus zote kaajili watu lakini mimi ndugu yake nipo mtaani naangaika
Boss kwa sisi wageni wa jiji hicho kiwanda kipo maeneo ganiNjoo urafiki unakunjia post au nichek kesho tuende wote ukapate kazi kiwanda cha mifuko wanalipa vzr ila mlipo ni wiki kwa wiki nichek inbox nikusaidie
Unajua kuna watu tunajisahau Sana hii dunia , tunaona kama tutaishi mileleWe acha tu ndugu yangu kuna watu wana mioyo ya ajabu sana
Tafuta mkaa na jiko Kisha tafuta mahala palipochangamka ,choma kuku Kwa moto wa makaa,mwambie huyo bro akupe mtaji,fanya hii kitu nyakati za usikuDaaah!! Maisha yanachanganya sana.
Nipo dar takriban miez 6 sasa nililetwa na ndugu yangu toka mkoani kwa ajili ya mchongo flani ila kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama tulivyopanga nikawa nimefeli.
Ndugu yangu sio kinyonge ni mtu mwenye maisha yake safi tu sio tajiri ila ana magari kama matatu hv na taasisi yake inayojishughulisha na maswala ya elimu.
Sasa Baada ya ule mchongo kufeli ndugu yangu huyo jana akaniweka chini akaniambia,
"Mdogo wangu nishakuleta mjini tayari na mji ushaujua sasa usikae tu home inabidi ujichanganye hata mimi nilianzia maisha duni sana nililala nje lakini leo mambo yangu yamenyooka hivyo nawewe anza kujitafuta mapema, kuhusu kulala nitakusimamia mimi ila vitu vingine inabidi ujitafutie mwenyewe ili akili yako ikae sawa na pia uanze kujitegemea mapema maana ushakuwa mtu mzima, Sifanyi hivi ili nikutese hapana nafanya hv ili nikusaidie na usiwe tegemezi.
Nikamwambia sawa kaka nimekuelewa wazo lako nitalifanyia kazi.
Sasa ndugu zangu hili swala nimelileta kwenu mnisaidie idea, mawazo yoyote ni vipi nitaweza kusurvive hapa mjini, hata kama kuna viwanda vinavyotoa kazi za kulipwa kwa siku mnielekeze vinapatikana wapi. Maana mimi bado sijawa mwenyeji sana hapa jijini. Kiufupi ni kwamba sichagui kazi yoyote ili mradi tu nisiwe nimevunja sheria za nchi.
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu kiukweli napitia nyakati ngumu sana, sijui nianzie wapi kutafuta hata pesa yakula natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo yenu.
We umesoma hii thread tokea mwanzo ?Unauhakika ni ndgu yake wa tumbo moja? au ww hujui unaweza kusaidiwa na mtu ambaye hata sio ndg yako kwa urahisi zaidi kuliko wa tumbo moja?
Sawa kaka nakuja pmNjoo urafiki unakunjia post au nichek kesho tuende wote ukapate kazi kiwanda cha mifuko wanalipa vzr ila mlipo ni wiki kwa wiki nichek inbox nikusaidie