Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,133
Kiukweli nawashauri muanze kubana matumizi kabla ya kubanwa nyie.
Maisha yamekuwa magumu sana kuna jamaa angu mmoja yeye anauza mayai ambapo kwa siku alikuwa anauza trei kama 30 laikini sasa mauzo yameshuka mpaka 10.
Pia sasa hivi mimi mauzo yangu hata ya dukani kwangu yamepungua kwa kiasi kikubwa kwani ndo inanifanya nipate tonge la siku kiukweli maisha yamekuwa magumu.
Tunamuomba Rais Magufuli kama hizo pesa zipo aziache kwa mzunguko lakini sijui kama zipo au laa.