Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Wanaume wa mikoani bwana yani story inaanzia mbali wakati hapo unataka tu kumwaga sumu



Wanaume wa mikoani bwana yani story inaanzia mbali wakati hapo unataka tu kumwaga sumu



tutapata utapia mlo sasa.Wanakula kwa mwandamo wa mwezi yaani unapiga dash.
bora hata hao wanayo maembe.......asa uku embe mpaka ununue.Huku nilipo watu wanaishi kwa kula maembe tu, hali ishakuwa ngumu
ni mwendo wa kiporo...........ndiyo vizuri lakini hakuna kutupa chakula.vi container vya viporo vinahusika toka home mpk ofisi!!
Ewaaaaaa......si pm yetu popote mradi ni ndani.ya jf
Safi kabisa, haba na haba hujaza kibaba, chambilecho.........eeh ndugu yangu kamshahara hakatoshi nikaona niingie na mama lishe.
una uhakika na hayoKomaa mkuu maisha yakipanda bei na wewe unapanda mara dufu... you understand me?
Poleni saña but life gumubora hata hao wanayo maembe.......asa uku embe mpaka ununue.
Ndiyo! Kama umenielewa lakini...!!una uhakika na hayo
Hello cuzoo darling.hi cuzoo..text me plz simu ilipata shida kwahyo nimepoteza namba zote dia!! miss u..
kingine haya maisha magum mpaka nawaza nijilipue niende kwa Trumph nikawe mkimbizii!! hahah

Huku nilipo watu wanaishi kwa kula maembe tu, hali ishakuwa ngumu
jamani!Kiukweli nawashauri muanze kubana matumizi kabla ya kubanwa nyie.
Maisha yamekuwa magumu sana kuna jamaa angu mmoja yeye anauza mayai ambapo kwa siku alikuwa anauza trei kama 30 laikini sasa mauzo yameshuka mpaka 10.
Pia sasa hivi mimi mauzo yangu hata ya dukani kwangu yamepungua kwa kiasi kikubwa kwani ndo inanifanya nipate tonge la siku kiukweli maisha yamekuwa magumu.
Tunamuomba Rais Magufuli kama hizo pesa zipo aziache kwa mzunguko lakini sijui kama zipo au laa.