Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,743
Sure my sweet love [emoji3590] wifehehehe eti eh
Sio rahisi kihivyo hasa kwa mtu ambae Hana uzoefu na biashara, ninachomshauri ajiripue tu aondoe aibu afamye anachoweza kufanya atatoboa kwa uwezo wa AllahDah.... tenga moja la nyanya ni elfu 60 pale mabibo.... na lina nyanya 600.... akigawa mafungu ya nyanya 4 atapata mafungu 150...akauza buku kila fungu atatengeneza laki na nusu...yaani faida ya elfu 90 kila tenga.....na kama akifanikiwa kuuza matenga yote 5 kwa siku hapo unaongelea faida ya laki 4 kwa siku....na ukumbuke kesho atarudi mabibo akiwa na laki 7 mfukoni....akiamua hiyo laki ajipongeze halafu anunue matenga 10....Dah [emoji1787] [emoji1787]
Hizo mb zenyewe unapata wapi ?
Wewe ni tapeliKama hauna aibu kama mimi au sio bishoo. Uza simu hiyo ingia sokoni asubuhi ununue tenga la nyanya utembeze na baiskeli hapo mjini daslam lazima utapata hata 5000 ya kula kila siku.
Regret haitakutatulia matatizo. Tushapitia hizo shida na sisi. Nilianza kuuza simu ili nipate hela ya kula, nikanunua kitochi. Hela ilivyokata nikauza jiko la gesi. Ahahahhahaaa
Jamani maisha magumu yasikieni kwa watu tu mkihadithiwa... maana unaishi kwa stress hatari, ukiwa na buku kumi mfukoni unaogopa hata kuichenchi maana unakuwa unawaza ikiisha sijui ndo utakufa...
Ila itabidi upambane mkuu hamna namna, ukishindwa kabisa rudi kijijini ukaanza moja kabisa, maana haina maana upo mjini halafu unaishi maisha ya digidigi... ikiwa ngumu sana usifosi, rudi kijijini hata ukalime.
Mb ninasongesha Voda...Hizo mb zenyewe unapata wapi ?
Pole sana ndugu,mungu akutie nguvu.Mimi nauguza mzee nahisi kuchanganyikiwa.
amka kumekucha acha kuota mchanaSure my sweet love [emoji3590] wife
Why?Wewe ni tapeli
Kwa ndoto sitamani kuamka ndio Kwanza najikunjulia shukaamka kumekucha acha kuota mchana
sawaKwa ndoto sitamani kuamka ndio Kwanza najikunjulia shuka
Njoo pm mama la mama tuyajengesawa
Yatapita tu, usikate tamaaWakuu, nahisi naongea peke yangu au nacheka peke yangu ila sijapata mtu tu wa kuniambia kwa jinsi life lilivonichapa.
Kazi niliyokuwa nayo sina tena, marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo tena, simu yangu siku nzima saa 24 hakuna hata missed call[emoji24].
Nashindwa kupita mtaani, natoka ghetto asubuhi saa 12 narudi usiku sana naogopa vidole mtaani.
Bili ya umeme na maji nimekuwa mdaiwa sugu, bado Kodi ya nyumba[emoji24][emoji24].
Yaani mpaka nimesema, mpenzi wangu yule nilikuwa nawaletea visa vyake nae kaniacha kikatili sana.
Mungu atusaidie vijana tunapitia magumu sana!
mie niliyabomoa muda tuNjoo pm mama la mama tuyajenge
maisha hayajawahi kua fair brother! hebu angalia hii
uko hai mzima wa afya kuna mwengine anapigania uhai wake icu
una pa kulala walau utadaiwa kodi kuna mwenzio hajui usiku ukiingia atalala wapi
una sim umeweza kutype jf kuna mwenzio anaitaman awe nayo hata aspopigiwa yeye awe na simu
unajua nn jifunze kushukuru kwa kidogo ulichonacho usiache kupambana hujui muda wala siku ya kutusua
Siku zote kwenye maisha, wekeza hela kwenye mali ambayo hata ukiyumba itakusaidia wewe ila usiwekeze kwa wanawake na marafiki.Wakuu, nahisi naongea peke yangu au nacheka peke yangu ila sijapata mtu tu wa kuniambia kwa jinsi life lilivonichapa.
Kazi niliyokuwa nayo sina tena, marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo tena, simu yangu siku nzima saa 24 hakuna hata missed call[emoji24].
Nashindwa kupita mtaani, natoka ghetto asubuhi saa 12 narudi usiku sana naogopa vidole mtaani.
Bili ya umeme na maji nimekuwa mdaiwa sugu, bado Kodi ya nyumba[emoji24][emoji24].
Yaani mpaka nimesema, mpenzi wangu yule nilikuwa nawaletea visa vyake nae kaniacha kikatili sana.
Mungu atusaidie vijana tunapitia magumu sana!