JAan dushman
Member
- Mar 30, 2023
- 87
- 130
Daah pole sana jesh itakuaj apo?
Usinifanyie hivyo my dearmie niliyabomoa muda tu
alamsiqUsinifanyie hivyo my dear
Nikifanya hivyo nitakuwa nimefanya kinyume na protocols zangu mkuu.sasa si hiyo hela ya bill tuma kwenye namba hii tu
Wee kula tu uwezavyo maana hakuna aliyewahi tunukiwa medali kwa sababu ya kupambana na hilo dudewe mlishe tu ila 'mzigo' nakula mimi.. lol

Hili ni lofa tu kama malofa wengine. Sipotezi ushauri wangu hapa.una simu ya laki 3 na hela ya Mb unapata mara kwa mara halafu unalia maisha magumu..
unalia kuachwa na demu wako..
unalia kuachwa na marafiki walevi..
Ila Dar es salaam kuna vimbwanga sana
Ukweli uliowasilishwa kupitia lugha ya utaniAkaaaa!
Usituingize kwenye msoto wako, vijana Tuma maisha mazuri labda wewe.
Natania mkuu
ILA pole sana cha muhimu kupambana.

Nimetania mkuu.😂😂Ukweli uliowasilishwa kupitia lugha ya utani![]()