Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
- Thread starter
- #61
Hapo sawa broo umenifungua akili...bajaji ya mkopo inaweza nichelewesha kuyafikiamafanikio. Bajaj ya mkopo ni bei gani?
. Kwa Nini uuze vitu vyote hivyo ukachue bajaji ya mkopo?
. Najua ndoto yako ni kuendesha/kumiliki bajaji ( labda marafiki/Rafiki yako anayo [emoji52] na wewe unatamani iwe hivyo), ndiyo waweza ukawa upo sahihi kabisa, lakini kuiga biashara ya mtu utapotea)
. Kaka/Mdogo wangu masuala ya mikopo achana nayo, najua kabisa hiyo Bajaj utafanya kazi ya kulipia/kuludisha mkopo wa bajaji ndani ya miaka 3 - 4,, ( hii siyo kabisa)
. Million 8 ÷ 365½ = 21917 kila siku . Kwa hiyo ukikomaa na biashara ndogo ndogo na ukaheshimu hela, kwa mwaka mmoja na nusu hiyo M8, unaipata bila shida. ( hapa utakua ume save mda)
. Siyo lazima uazae na bajaji mpya, Unaweza anza hata bajaji used, ambayo bei ni chee kabisa.....
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app