Laki 3,Kuhusu hiyo simu ya laki 3 una mshauri afanye nini?
Mmmh 🥺😰I can feel unachopitia. Ww bora hata ghetto unalo, mm nimekuwa homeless nazurura tu sina makazi maalum
Asante kakaPole sana, sisi ma jobless tusemaje ?
Mkuu Ila mi naweza kuendesha bajaji na bajaji mpya ni hela nyingi Ila watu wanakopesha shida kianzioLaki 3,
Tafuta Machinjio ya MBUZI, fanya yafuatayo :-
1. Nunua vichwa vya mbuzi kwa 2500 - 3000/- kila kichwa
2. Andaa sehemu ya kupikia, ( Karibu na grocery/bar au sehemu yenye mkusanyiko)
3. Andaa Vifaa kama vile, sufuria kubwa, jiko, visu, bakuli, sahani.
4. Mahitaji, unga, chumvi, pili pili, nyanya, vitunguu, kiberiti, mkaa,
Maandalizi
Chukua kichwa cha mbuzi, kiandae ukiwa bado upo nyumbani ( koka moto wa kuni, choma vichwa hakikisha manyoya yote yanaungua, baada ya hapo tafuta sufuria kubwa vichemshe mpaka vinaiva kisawa sawa, ( kazi hii ifanyike asubuhi ikifika mchana kila kitu kiwe tayari,)
. Mida ya saa nane andaa sufuria ndogo ndogo kwa ajili ya ku roast vichwa vya mbuzi, ( nyanya, kitunguu, chumvi, pilipili ni mhimu, ) ( usiuze kichwa kama kilivyo unakiponda ponda kama ulojo fulani vile, Wataalam wa haya mambo waananielewa ninacho maanisha)
. Kichwa kimoja fanya elfu 6000 - 7000/- nusu kichwa fanya elfu 3000 - 4000/- plus ugali 4000 - 8000/-,
. Vichwa 5 × 2500 = 11500/-( gulioni)
. Baada ya kuuza 6000 × 5 = 30000/-
. Ugali 1000 matonge 10 =?
. NB: kwenye kila mteja atakaye kuja kuorder iwe nusu au Kichwa kizima hakikisha unapunguza nyama 2 au 3, mpaka unapata kichwa kingine cha ziada, ( hii utalipia nauli, kuni, chumvi na kitunguu), but Tamaa ni ukigundulika wataje watahama wote.
. Mwisho Acha ubishoo na kupenda uliko zaliwa/toka..
. Mapambano mema Kijana.
Idea nzuri. Kama hachagui kazi inaweza kumsaidiaAnatafuta kijiwe anatengeneza meza kama zile wanazouzia vipande vya kuku au matunda.
Unaanza kupika kachori na pweza zingatia eneo la movement yenye watu wengi, ndugu zako wanaopafahamu maeneo ya mazizini pale kisinia watu awalali mpaka alafajiri panakucha!
Au biashara ya matunda.
Au unatengeneza mishkaki ya 200 kwa 500 pembeni unachoma na ndizi zingatia eneo lenye movement kubwa.
Hiyo laki3 inatosha kabisa kuanzia kila kitu.
Utayari tu mkuu.
Duh huyu jamaa akauze nyanya sio bishoo huyu kweli?Dah.... tenga moja la nyanya ni elfu 60 pale mabibo.... na lina nyanya 600.... akigawa mafungu ya nyanya 4 atapata mafungu 150...akauza buku kila fungu atatengeneza laki na nusu...yaani faida ya elfu 90 kila tenga.....na kama akifanikiwa kuuza matenga yote 5 kwa siku hapo unaongelea faida ya laki 4 kwa siku....na ukumbuke kesho atarudi mabibo akiwa na laki 7 mfukoni....akiamua hiyo laki ajipongeze halafu anunue matenga 10....Dah 🤣 🤣
Bonge ya idea mkuu, tatizo sie mabishoo sijui inakuaje?Laki 3,
Tafuta Machinjio ya MBUZI, fanya yafuatayo :-
1. Nunua vichwa vya mbuzi kwa 2500 - 3000/- kila kichwa
2. Andaa sehemu ya kupikia, ( Karibu na grocery/bar au sehemu yenye mkusanyiko)
3. Andaa Vifaa kama vile, sufuria kubwa, jiko, visu, bakuli, sahani.
4. Mahitaji, unga, chumvi, pili pili, nyanya, vitunguu, kiberiti, mkaa,
Maandalizi
Chukua kichwa cha mbuzi, kiandae ukiwa bado upo nyumbani ( koka moto wa kuni, choma vichwa hakikisha manyoya yote yanaungua, baada ya hapo tafuta sufuria kubwa vichemshe mpaka vinaiva kisawa sawa, ( kazi hii ifanyike asubuhi ikifika mchana kila kitu kiwe tayari,)
. Mida ya saa nane andaa sufuria ndogo ndogo kwa ajili ya ku roast vichwa vya mbuzi, ( nyanya, kitunguu, chumvi, pilipili ni mhimu, ) ( usiuze kichwa kama kilivyo unakiponda ponda kama ulojo fulani vile, Wataalam wa haya mambo waananielewa ninacho maanisha)
. Kichwa kimoja fanya elfu 6000 - 7000/- nusu kichwa fanya elfu 3000 - 4000/- plus ugali 4000 - 8000/-,
. Vichwa 5 × 2500 = 11500/-( gulioni)
. Baada ya kuuza 6000 × 5 = 30000/-
. Ugali 1000 matonge 10 =?
. NB: kwenye kila mteja atakaye kuja kuorder iwe nusu au Kichwa kizima hakikisha unapunguza nyama 2 au 3, mpaka unapata kichwa kingine cha ziada, ( hii utalipia nauli, kuni, chumvi na kitunguu), but Tamaa ni mbaya, ukigundulika wataje watahama wote.
. Mwisho Acha ubishoo na kupenda uliko zaliwa/toka..
. Mapambano mema Kijana 🙏🙏🙏.
Ndo ufanye hiyo biashara ya kichwa cha mbuzi upate kianzio cha kununua bajaji.Mkuu Ila mi naweza kuendesha bajaji na bajaji mpya ni hela nyingi Ila watu wanakopesha shida kianzio
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
. Ni kweli mkuu, ila unaona kikwazo ulicho nacho, bado tunaludi pale kwenye umaskini 😥,Mkuu Ila mi naweza kuendesha bajaji na bajaji mpya ni hela nyingi Ila watu wanakopesha shida kianzio
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Je mkuu nikiuza flat,kitanda na simu yangu humu ntakosa mtu wa kunipa milioni moja ili nikawape wale watu wanikopeshe bajaji mpya?. Ni kweli mkuu, ila unaona kikwazo ulicho nacho, bado tunaludi pale kwenye umaskini,
. Siyo kwamba watu hawana hela, tatizo uaminifu,( hili limekua changamoto sana katika maisha ya sasa),
. Kwa sasa unacho hitaji ni msingi kwanza ambao unaweza kuaminiwa na mtu yeyote.
1. Anza na dayworker ya Bajaj vijiweni
2. Fahamiana na madereva mwenzio, weka ukaribu nao.
3. Onesha nia ya Kazi yako, Rafiki zako watakupa connection za Maboss walipo.
NB: Kama una mwanini mungu mtangulize katika mahangaiko yako, mtoto wa kiume marufuku kukata Tamaa![]()
Flat ni nini?Je mkuu nikiuza flat,kitanda na simu yangu humu ntakosa mtu wa kunipa milioni moja ili nikawape wale watu wanikopeshe bajaji mpya?
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Ni Flat screen TVFlat ni nini?
Asante sn, ni mtihani mkubwa ukizingatia na hizi familia zetu mkuu.
Akili inasimama sometimes.
😁 Nzuri sana ubishoo pembeni kazi na pesa kwanza
Okeee😀Ni Flat screen TV
. Bajaj ya mkopo ni bei gani?Je mkuu nikiuza flat,kitanda na simu yangu humu ntakosa mtu wa kunipa milioni moja ili nikawape wale watu wanikopeshe bajaji mpya?
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Vitu hivi hapoOkeee
Nimeumiza kichwa kweli kweli.