Maisha yamenichapa haswa

Hapo sawa broo umenifungua akili...bajaji ya mkopo inaweza nichelewesha kuyafikiamafanikio

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
We ushawah fanya hiyo biashara??
Kwa hiyo faida kwa nn wewe usiifanye??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mitihani ya dunia hiyo mkuu,hii dunia hujawa mwanaume kama hujawahi kukutana na majanga yatayofanya uongee peke ako..cha msingi ONGEA NA MUNGU USIKU WA MANANE SAA TISA,OMBA TOBA,MUELEZEE SHIDA ZAKO.

WATU WAKISHINDWA KUKUSAIDIA,MUNGU ANAANZIA HAPO.
 
Kipindi hiki ndio utajua aina ya watu uliokuwa unawaona wa maana kwako kumbe sio. Huyo aliekuwa mpenzi wako nilikuasa sana ujitahidi umuache maana maumivu ya kuachwa yanaumiza zaidi ukiachwa baada ya kushuka kiuchumi.
Unataka utafutwe? We hela? Jifunze kuishi bila uwepo wa watu wengine ndani ya maisha yako.
Mimi simu nje ya michongo ya biashara inaeza isiite hata mwezi mzima na siwazi.

Nikiwaambia hali niliyokuwa nayo mwaka jana kiuchumi na sasa ilivyo ni changangamoto ila ndio maisha kikubwa usikate tamaa, fight kuboresha maisha yako maana hakuna atakaekuja kufanya hivyo kwa ajili yako.

NB: Ukiwa unajitafuta punguza spending zisizo za msingi na zima switch ya hisia vinginevyo utapiga hatua 8 mbele alafu utarudi 16 nyuma.

POLE SANA
 
Asante broo

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio unakuwa mwanaume sasa ndio mtihani wa mwisho upo.
mahali utamjua ni nani rafiki nani snich
mahali uajua nani demu, malaya, ama wife material
yupi ni ndugu yupi ni paka shume kaza buti bado kitambo kidogo.
 
Mimi wakati sina kazi natoka home naenda kuzurura zurura tunakutana na masela tunapiga story njaa inauma nawaaga naondoka wananicheka, wananiambia wahi home dogo mzee kaja na samaki wasikumalizie, basi sina chakufanya maana najua yale ni maneno

Kumbe pale wakati sina pesa nilikuwa niko darasa la usimamizi wa fedha pindi upatapo. Sasa hivi wanashangaa huyu jamaa mambo mazuri ule ujinga wa matumizi mabaya ya fedha ambao sisi tunao yeye hana,

Ngoja nikupe siri moja. Hivi unajua dunia haijui njaa wala shibe, sina lawa ninacho, kama dunia haijui hili kwanini wewe usitengeneze mindset kuanzia sasa kuwa kila kitu ni perfect kwako ( economic, mentally, healthy ect).. Dunia iko hapa kuumpatia mtu yeyote kitu chochote anachokitaka, kama utajua jinsi yakuiomba dunia mambo hayo..
 
Seen .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…