Maisha yamenichapa haswa

Yaani wewe simu yako haiiti 24 hours Mimi simu yangu. Kwa mwaka huu haijawahi kupigwa hata Mara. Moja tangu mwaka huu uanze acha hizo bana Kila mtu maisha yampiga hatusemi tu just move on and never give up bro[emoji123]
 
Haya mawazo Kama yametoka Kwa
My wife to be [emoji3531][emoji3531][emoji3531]
 
Mkuu, pole.

Lakini bora wewe una miguu unatoka geto, kuna wengine hawana hata miguu.
 
Mpe muongozo hajui
Anatafuta kijiwe anatengeneza meza kama zile wanazouzia vipande vya kuku au matunda.
Unaanza kupika kachori na pweza zingatia eneo la movement yenye watu wengi, ndugu zako wanaopafahamu maeneo ya mazizini pale kisinia watu awalali mpaka alafajiri panakucha!

Au biashara ya matunda.

Au unatengeneza mishkaki ya 200 kwa 500 pembeni unachoma na ndizi zingatia eneo lenye movement kubwa.

Hiyo laki3 inatosha kabisa kuanzia kila kitu.
Utayari tu mkuu.
 
Kuhusu hiyo simu ya laki 3 una mshauri afanye nini?
Dah.... tenga moja la nyanya ni elfu 60 pale mabibo.... na lina nyanya 600.... akigawa mafungu ya nyanya 4 atapata mafungu 150...akauza buku kila fungu atatengeneza laki na nusu...yaani faida ya elfu 90 kila tenga.....na kama akifanikiwa kuuza matenga yote 5 kwa siku hapo unaongelea faida ya laki 4 kwa siku....na ukumbuke kesho atarudi mabibo akiwa na laki 7 mfukoni....akiamua hiyo laki ajipongeze halafu anunue matenga 10....Dah 🤣 🤣
 
Mkuu

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hao waliokukimbia hawakuwa marafiki zako wa ukweli na kazi za watu ni ishu za kupita kwaio visikuumize kichwa. Reset akili yako anza upya, na achana na kuwafikiria watu wanakuonaje we ndo mwamuzi wa maisha yako.Watu hawana pa kula, pa kulala na hawana simu kama hiyo yako lakini wanapambana kubadilisha maisha na wanafanikiwa. Kikubwa akili mkuu matirio na pesa huja yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…