Maisha yamekuwa rahisi sana kwa wahitimu wa vyuo na Wafanyakazi wa Serikali Tanzania

Tatizo watu wengine wamekaa kusifiasifia tu bila kuangalia uhalisia, unajua ulichoandika kweli au ume copy and ku paste
 
Annual increment kama serikali haina pesa italipa takataka au

Kaa na ujifunze mambo ya uchumi wa nchi
Kazi ya serikali sio kuongeza mishahara ya watumishi bali ni kuweka mazingira rafiki kwa kila mtanzania awe mfanyakazi,mkulima,mfanyabiashara

Mbona wakulima hawalalamiki bei ya mbaazi kushuka

Wafanyakazi wa serikali hawafiki laki tano kwenye taifa la watu milioni 35

Sheria inaweza kuwepo lakini utalipa pesa wakati watu wanahitaji barabara na umeme

Sheria ni alama tu sio lazima kila sheria ifuatwe ,Kila sheria ikifuatwa hata uhuru wa kuandika hapa ungekosa
Ila takwimu zako zina utata. Tz watu 35m!
 
Wanabodi, Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti, uongozi na teknolojia

Mfano mfumo wa malipo wa GEPG (Government electronic payment gateway system) imeundwa na vijana hawa wazalendo wakiongozwa na kubwa lao kijana toka pale BOT sasa ni mkurugenzi wa mifumo wizara ya fedha na alisoma University of Dar es Salaam(UDSM).

Mfumo wa GEPG kwa kutumia control number umerahisisha malipo ya maji na umeme kwa kila mtanzania hilo halipingiki kuwa kwa sasa elimu yetu ni bora na vijana wanajiajili na wameajilika kwa maelfu

Kuanzia mwaka 2013 mpaka mwaka 2020 maelfu ya vijana wameajiriwa serikalini mfano Mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja na Bank kuu ya Tanzania BoT huku wakilipwa mishahara mikubwa inayowawezesha kuendana na kasi ya awamu ya tano ya hapa kazi tu

Wafanyakazi wa serikali wameweza kumudu gharama za familia hasa upande wa vyakula na matibabu muhimu ya afya

Bima ya afya ya Taifa yaani NHIF imeboreshwa na kuwa Bima bora zaidi ukilinganisha na Bima za mashirika binafsi kama strategies,Jubilee au GA insurance hivyo watu wote hasa wa serikalini wanakula bata kwa gharama hizi nafuu

Chama changu Cha Mapinduzi kinatakiwa kufanya yafuatayo baada ya kushinda Octoba 28 mwaka huu 2020 ili wahitimu na wafanyakazi wazidi kuwa na furaha zaidi na nchi yao.

Mosi,Kuondoa Chuki iliyopandwa na viongozi wetu kati ya vyama vya siasa yaani wana ccm na wana chadema,Hii chuki imekuwa kubwa na imepoteza furaha kwa watu,Ukifuatilia ni kama watu wanasubiri mtu wa kusema na nyinyi upande wa pili jibuni mapigo,Akitokea mtu akasema jibuni mapigo vita hii haitazimwa kirahisi watu wana uchungu na hasira sana mioyoni mwao wanafikiria ccm inabebwa awamu hii ya tano.

Pili,Hoja zijibiwe kwa hoja na pale unapozidiwa hoja unachutama na kurekebisha makosa mfano suala la uhuru wa habari na vyombo vyake limekuwa linaongelewa kila kona ya nchi,Hii sekta sasa inaanza kujenga chuki kati ya waandishi na Raia.

All in all mapambano yanaendelea tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa technically tutawapiga mchana kweupe huku mkifikiri ni usiku.
Unachekesha!Umetumwa!
 
Wale wenye ufaulu mkubwa na bright darasani wanawaajili

Wewe kama ulikuwa unacheza chuo ukapata GPA ya 2.7 hilo sahau mkuu

Ukitaka idadi nenda kwa vice chancellors udsm au ITA au IFM uliza wale wenye GPA kubwa wapo wapi?

Mwezi huu TRA imeajili mamia ya vijana waliofaulu interview

Kama ulifeli huwezi kupata taarifa hizi kwani umekaa kufeli feli tu
kweni GPA inatakiwa ianzie ngap mkuu?
 
Wanabodi, Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti, uongozi na teknolojia

Mfano mfumo wa malipo wa GEPG (Government electronic payment gateway system) imeundwa na vijana hawa wazalendo wakiongozwa na kubwa lao kijana toka pale BOT sasa ni mkurugenzi wa mifumo wizara ya fedha na alisoma University of Dar es Salaam(UDSM).

Mfumo wa GEPG kwa kutumia control number umerahisisha malipo ya maji na umeme kwa kila mtanzania hilo halipingiki kuwa kwa sasa elimu yetu ni bora na vijana wanajiajili na wameajilika kwa maelfu

Kuanzia mwaka 2013 mpaka mwaka 2020 maelfu ya vijana wameajiriwa serikalini mfano Mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja na Bank kuu ya Tanzania BoT huku wakilipwa mishahara mikubwa inayowawezesha kuendana na kasi ya awamu ya tano ya hapa kazi tu

Wafanyakazi wa serikali wameweza kumudu gharama za familia hasa upande wa vyakula na matibabu muhimu ya afya

Bima ya afya ya Taifa yaani NHIF imeboreshwa na kuwa Bima bora zaidi ukilinganisha na Bima za mashirika binafsi kama strategies,Jubilee au GA insurance hivyo watu wote hasa wa serikalini wanakula bata kwa gharama hizi nafuu

Chama changu Cha Mapinduzi kinatakiwa kufanya yafuatayo baada ya kushinda Octoba 28 mwaka huu 2020 ili wahitimu na wafanyakazi wazidi kuwa na furaha zaidi na nchi yao.

Mosi,Kuondoa Chuki iliyopandwa na viongozi wetu kati ya vyama vya siasa yaani wana ccm na wana chadema,Hii chuki imekuwa kubwa na imepoteza furaha kwa watu,Ukifuatilia ni kama watu wanasubiri mtu wa kusema na nyinyi upande wa pili jibuni mapigo,Akitokea mtu akasema jibuni mapigo vita hii haitazimwa kirahisi watu wana uchungu na hasira sana mioyoni mwao wanafikiria ccm inabebwa awamu hii ya tano.

Pili,Hoja zijibiwe kwa hoja na pale unapozidiwa hoja unachutama na kurekebisha makosa mfano suala la uhuru wa habari na vyombo vyake limekuwa linaongelewa kila kona ya nchi,Hii sekta sasa inaanza kujenga chuki kati ya waandishi na Raia.

All in all mapambano yanaendelea tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa technically tutawapiga mchana kweupe huku mkifikiri ni usiku.
Huu ni mtindo wa panya unapuliza na na baadae unang'ata. Bahati mbaya kupuliza kwako hakumgusi kila Mtz ila ulipong'ata, hapo ndio penyewe.
 
Unamuongelea mfanyakazi wa nchi gani? Sisi wafanyakaz wa nchii Hali yet bado ngumu,si wa wizarani,halmashaur Wala shirika la umma,kwanza Ijcrement ya mshahara hakuna toka aingie mzee,increment ile ilikuwa inawezesha mtumishi kukopa kufanya shufhuli za maendeleo,mfano increment ya elf 50 kwa mwaka benk wanaweza kukupa hela ambayo unaweza kuezekq hata kubadilisha gari,semina na warsha zilifutwa, humo ndipo walau watumishi walikuwa wanapata vi posho vya kuishi kumbuka mishahara ina madeni, Safari za nje zilifutwa ,au zikiwepo mlolongo wake mrefu kibali mpaka upate ikulu, idadi ya scholarship zimepungua aana kwa Sasa tofauti na awamu zilizopita, na hizi njia za makusanyo kupitia GEPG zimeongeza ugimu wa maisha sababu walau mwanzo watumishi walikuwa na uwezo hata wa kukeep change Sasa hivi kila sent inaenda chungu kikuu hakidondoki hata ki jero, utasema Kuna unafuu mzee?
Kwahio mlitaka ku keep change salio la serikali? 😂😂😂 Chapeni kazi wazee
 
Wanabodi, Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti, uongozi na teknolojia

Mfano mfumo wa malipo wa GEPG (Government electronic payment gateway system) imeundwa na vijana hawa wazalendo wakiongozwa na kubwa lao kijana toka pale BOT sasa ni mkurugenzi wa mifumo wizara ya fedha na alisoma University of Dar es Salaam(UDSM).

Mfumo wa GEPG kwa kutumia control number umerahisisha malipo ya maji na umeme kwa kila mtanzania hilo halipingiki kuwa kwa sasa elimu yetu ni bora na vijana wanajiajili na wameajilika kwa maelfu

Kuanzia mwaka 2013 mpaka mwaka 2020 maelfu ya vijana wameajiriwa serikalini mfano Mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja na Bank kuu ya Tanzania BoT huku wakilipwa mishahara mikubwa inayowawezesha kuendana na kasi ya awamu ya tano ya hapa kazi tu

Wafanyakazi wa serikali wameweza kumudu gharama za familia hasa upande wa vyakula na matibabu muhimu ya afya

Bima ya afya ya Taifa yaani NHIF imeboreshwa na kuwa Bima bora zaidi ukilinganisha na Bima za mashirika binafsi kama strategies,Jubilee au GA insurance hivyo watu wote hasa wa serikalini wanakula bata kwa gharama hizi nafuu

Chama changu Cha Mapinduzi kinatakiwa kufanya yafuatayo baada ya kushinda Octoba 28 mwaka huu 2020 ili wahitimu na wafanyakazi wazidi kuwa na furaha zaidi na nchi yao.

Mosi,Kuondoa Chuki iliyopandwa na viongozi wetu kati ya vyama vya siasa yaani wana ccm na wana chadema,Hii chuki imekuwa kubwa na imepoteza furaha kwa watu,Ukifuatilia ni kama watu wanasubiri mtu wa kusema na nyinyi upande wa pili jibuni mapigo,Akitokea mtu akasema jibuni mapigo vita hii haitazimwa kirahisi watu wana uchungu na hasira sana mioyoni mwao wanafikiria ccm inabebwa awamu hii ya tano.

Pili,Hoja zijibiwe kwa hoja na pale unapozidiwa hoja unachutama na kurekebisha makosa mfano suala la uhuru wa habari na vyombo vyake limekuwa linaongelewa kila kona ya nchi,Hii sekta sasa inaanza kujenga chuki kati ya waandishi na Raia.

All in all mapambano yanaendelea tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa technically tutawapiga mchana kweupe huku mkifikiri ni usiku.
shibe mwana malevya
Hicho unachokiongelea ni kinawagusa asilimia ndogo sana ya watu
 
Huu ni mtindo wa panya unapuliza na na baadae unang'ata. Bahati mbaya kupuliza kwako hakumgusi kila Mtz ila ulipong'ata, hapo ndio penyewe.
Tumeshinda mitano tena
 
Wanabodi, Leo hii kila kona ya nchi kuna vyuo vikuu bora na vya kisasa zaidi ya Harvard ,Yale pamoja na Stanford ambavyo vinatengeneza vijana wenye maarifa katika utafiti, uongozi na teknolojia

Mfano mfumo wa malipo wa GEPG (Government electronic payment gateway system) imeundwa na vijana hawa wazalendo wakiongozwa na kubwa lao kijana toka pale BOT sasa ni mkurugenzi wa mifumo wizara ya fedha na alisoma University of Dar es Salaam(UDSM).

Mfumo wa GEPG kwa kutumia control number umerahisisha malipo ya maji na umeme kwa kila mtanzania hilo halipingiki kuwa kwa sasa elimu yetu ni bora na vijana wanajiajili na wameajilika kwa maelfu

Kuanzia mwaka 2013 mpaka mwaka 2020 maelfu ya vijana wameajiriwa serikalini mfano Mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja na Bank kuu ya Tanzania BoT huku wakilipwa mishahara mikubwa inayowawezesha kuendana na kasi ya awamu ya tano ya hapa kazi tu

Wafanyakazi wa serikali wameweza kumudu gharama za familia hasa upande wa vyakula na matibabu muhimu ya afya

Bima ya afya ya Taifa yaani NHIF imeboreshwa na kuwa Bima bora zaidi ukilinganisha na Bima za mashirika binafsi kama strategies,Jubilee au GA insurance hivyo watu wote hasa wa serikalini wanakula bata kwa gharama hizi nafuu

Chama changu Cha Mapinduzi kinatakiwa kufanya yafuatayo baada ya kushinda Octoba 28 mwaka huu 2020 ili wahitimu na wafanyakazi wazidi kuwa na furaha zaidi na nchi yao.

Mosi,Kuondoa Chuki iliyopandwa na viongozi wetu kati ya vyama vya siasa yaani wana ccm na wana chadema,Hii chuki imekuwa kubwa na imepoteza furaha kwa watu,Ukifuatilia ni kama watu wanasubiri mtu wa kusema na nyinyi upande wa pili jibuni mapigo,Akitokea mtu akasema jibuni mapigo vita hii haitazimwa kirahisi watu wana uchungu na hasira sana mioyoni mwao wanafikiria ccm inabebwa awamu hii ya tano.

Pili,Hoja zijibiwe kwa hoja na pale unapozidiwa hoja unachutama na kurekebisha makosa mfano suala la uhuru wa habari na vyombo vyake limekuwa linaongelewa kila kona ya nchi,Hii sekta sasa inaanza kujenga chuki kati ya waandishi na Raia.

All in all mapambano yanaendelea tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa technically tutawapiga mchana kweupe huku mkifikiri ni usiku.
Satire
 
Back
Top Bottom