Maisha yamekuwa rahisi sana kwa wahitimu wa vyuo na Wafanyakazi wa Serikali Tanzania

Annual increment kama serikali haina pesa italipa takataka au

Kaa na ujifunze mambo ya uchumi wa nchi
Kazi ya serikali sio kuongeza mishahara ya watumishi bali ni kuweka mazingira rafiki kwa kila mtanzania awe mfanyakazi,mkulima,mfanyabiashara

Mbona wakulima hawalalamiki bei ya mbaazi kushuka

Wafanyakazi wa serikali hawafiki laki tano kwenye taifa la watu milioni 35

Sheria inaweza kuwepo lakini utalipa pesa wakati watu wanahitaji barabara na umeme

Sheria ni alama tu sio lazima kila sheria ifuatwe ,Kila sheria ikifuatwa hata uhuru wa kuandika hapa ungekosa
Wewe utakuwa umerukwa na akili Wewe
 
Back
Top Bottom