RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
Pale Mtu anapotafuta Mianya Ya Kupata Pesa Na Mianya Yote Ikagoma Na Akiangalia Nyuma Kila Mtoto ananyoosha Mkono. Akili ina Stuck na Kuanza Fikiria Haramu
Huu ni Mwaka Mmoja Tu wa Uongozi wa Mateso mateso kila Siku.. Itakapofikia Miaka Miwili au Mitatu watu Hawaoni Direction..
Haya Matukio Sina Hofu Yakazidi.. UJAMBAZI..UBAKAJI...UUZAJI WA UNGA...UFISADI UKARUDI