Maisha ya Zero IQ na haso zake za kila siku

Maisha ya Zero IQ na haso zake za kila siku

Mkuu hiyo Avatar ina story ndefu sana
hahaha
1539635226143.jpeg
 
mkuu kanuni kuu ya kufanikiwa maishani ni (kuidharau aibu)
kujituma na kufanya kile unachokiamini
bila kujali watu watakuona je?
Umejiuliza kwanini wasomi wengi wa kiwango cha PhD wanaishia kuajiriwana std 7?
Songa mbele mkuu
Kweli kabisa mkuu wakati naanza kuchoma mahindi washkaji wale niliomaliza nao baadhi walikuwa washapata sehemu za kujishikiza waliniona jau kinyama na hapa kitaani waliona kama nacheza ila leo wanakuta niko nauza kiepe hawaamini wako na yale maneno eti mishikaki tu ndio inifanye nifungue banda la chipsi lazima kutakuwa na namna,

ila kwa kuwa mimi mwenyewe ndio najua naachana nao nachukulia kama changamoto tu mi naendelea na mishe zangu mdogo mdogo naamini ipo siku nitatusua zaidi ya hapo.
 
Hongera sana, ndiyo mwanaume unapaswa uwe hivyo siyo kulialia eti ajira.
 
Huwezi kumpata kwenye Uzi huu mkuu kamtafute huko kwenye nyuzi zingine uwenda ukapata hiyo bilioni 1,ila nikukumbishe hakuna pesa ya kirahisi hivyo.
Yani kumjibu tu huyu NYUMBU naona umempendelea sana maana hakustahili hata attention za Akina Kim na Mrs Trump (Kanyewest)
 
Yani kumjibu tu huyu NYUMBU naona umempendelea sana maana hakustahili hata attention za Akina Kim na Mrs Trump (Kanyewest)
Nilikuwa namkumbusha tu uwenda nae ana ndoto za kumiliki bilioni 1 kwa kumpata Mo
 
mkuu kanuni kuu ya kufanikiwa maishani ni (kuidharau aibu)
kujituma na kufanya kile unachokiamini
bila kujali watu watakuona je?
Umejiuliza kwanini wasomi wengi wa kiwango cha PhD wanaishia kuajiriwana std 7?
Songa mbele mkuu
@zero iQ hata huyu amenena kweli kuwa aibu kwa msomi wa ki Tz ni kitanzi kinachowaua wengi, just imagining mimi ningeona aibu wakati nasoma chuo kula wali mboga mboga,ningeona aibu kuwa mwalimu wa tuition,ningeona aibu kuwa mfyatua matofali mwenye degree leo hii sijui ningekuwa wapi
 
Mwanzo ni ngumu kufikiria nje ya box ila ukiweka nia unaweza
Aisee ni shiiida mkuu, mfano mimi fani niliyosomea na shughuli ninayofanya ni tofauti mbali ila ndiyo hivyo hakuna kulaumu wewe unasematu Alhamdulillah basi.
 
Back
Top Bottom