Maisha ya Zero IQ na haso zake za kila siku

Zero IQ ungeweka na faida kwa siku haswa ilo banda la pili ingependeza zaidi.
Mkuu ni ngumu sana kucalculate faida kwenye biashara mpya kwa sababu once unavyoanzisha tu unakuwa na full package hivyo unakuwa hauna cha kununua we unaingiza tu ila baada ya mda furani ndio nitaanza kujua sasa faida kiasi gani baada ya kuona kile ninachoingiza na kutoa,

Nitakupa jibu baada kama ya wiki 2 mbili hivi mkuu.
 
Basi ilo la kwanza boss maana watu tuna mawazo kumi kichwani litaloshinda ndio tuanze nalo then mkuu umeweza kwa 500K tu je endapo mimi nitaanza na 700K itawezekena kweli na kwenye biashara nimuweke mtu coz mimi sipo.
 
Biasha

Biashara ya chipsi inaitaji mtu muaminifu sana mkuu ukipata naamini hautojutia kamwe
 
Back
Top Bottom