Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
- Thread starter
- #101
Kweli kabisa mkuu fanya kazi yeyote ili mradi mkono uwende kinywani cha kuzingatia tu usidhurumu cha mtuAisee ni shiiida mkuu, mfano mimi fani niliyosomea na shughuli ninayofanya ni tofauti mbali ila ndiyo hivyo hakuna kulaumu wewe unasematu Alhamdulillah basi.