Maisha ya Zero IQ na haso zake za kila siku

Maisha ya Zero IQ na haso zake za kila siku

Sasa mkuu na ule ugonjwa wako si tutaua mtaji wote..maana totos hupenda viepe😁
 
yoyote ata ya kabati la chips, picha kama iyo ya avatar yako kuna baadhi ya watu akiangalia anapatwa msisimko Mkuu
Picha ya kikauzu kabisa hii mkuu msisimko unatoka wapi?
 
Aisee, safi sana Zero IQ , Uzi wako unatuinspire wengi. Siku ntakutafuta unipe details zaidi kuhusu hyo biashara ya chips. Keep it up man.
Nashukuru mkuu usiogope kuniomba ushauri na kuniuliza chochote nitakujibu kadri vile mimi nilivyofanya mpaka kufikia hapo.
 
Mkuu goli lako la chips liko mitaa gani nije kukutembelea Kama ni ndani ya wilaya ya kinondoni au ilala itakuwa vizuri Sana..nitakuja na wanaume wenzangu wa dar utuwekee mazagazaga Kama yote pilipili kwa mbali tudamshi na chipsi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom