Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,147
Umenikumbusha kitu mi life yangu baada ya kugundua ajira ngumu mtaani nikiwa chuo ikabidi nibane hela yangu ya bumu nikawa nakula wali maharage na mboga mboga,japokuwa nilikuwa nachekwa na washikaji ila baada ya chuo nikanunua machine ya kufyatua matofali pale SIDO na vibao vyake pale buguruni(nilichongesha) nilipiga hela za kufa mtu kwa sababu nilikuwa natengeneza matofali mawe then kupitia uaminifu na kujituma nikajikuta nafanya kazi ya kufyatua matofali kwa mkuu fulani(sitamtaja) akaniunganisha na kazi ya kusimamia frame zake zijengwe i mean nitafute mafundi mimi mwenyewe na niwasimamie ili yeye akirudi kutoka nje ya nchi(balozi) akute qframe zote 17 zimeshajengwa na kukamilika,So hela zote alinikabidhi mimi sasa mimi kwa kupenda sifa kwangu nilimrudishia chenchi yake kwa sababu alifanya over estimation ikabidi anipe zawadi ya nafasi serikalini (ambayo mpaka sasa inanipa kibuli)kama zawadi ya uaminifu wangu pia nilikuwa namfundisha mwanae wa kike tuition yule dogo alikuwa ananitaka ila nikawa serious na kazi kumbe dogo akazidi kuzimika na mimi nakuanza kunisifia kwa baba yake(I was like a bodyguard from Beijing -jet li).
Nitaendelea nikimaliza hii bia yangu ya kirusi (Budweiser).
Nitaendelea nikimaliza hii bia yangu ya kirusi (Budweiser).