Maisha ya Zambia


Pouwa!
 
Weee Zambia sio sehemu nzuri kwa mbongo kwenda (Especially kama huna ndugu kule na hujui hata abcd za kiwemba na kinyanja and worse still huna passport). Wale jamaa sio wavumilivu kama wabongo tunavyoishi peacefully na watu wa kila aina duniani. Hawana tofauti kubwa sana na interHamwE au wanyamurenGe. Watch out! (in 2 chainz's voice).
 
Nimefika Mbala na Mpulungu karibuni,kuna network nzuri ya biashara na majirani zake. Miji iko karibu na Tz, Drc,
 
Mkuu mbona unatutisha?
 
Acha kudanganya watu, karibia robo ya wafanyabiashara walioko Zambia hasa Lusaka Na Kitwe ni watanzania.....tena wanamaduka makubwa tu.

Sema Zambia Maisha ni gharama hasa Kwa sisi watanzania tuliozoea Maisha mteremko.

Lakini ukishafanikiwa kujenga mtandao ni sehemu Moja POA sana Kwa kutafutia Maisha.
 
Well, mi naongea kutokana na experience.
 
Sorry ndg kuna baadhi wanaongea Kireno bila shaka watakuwa na asili ya Msumbiji. Wazambia na watu wa Msumbiji South Africa ni wengi sana na ukiangalia kwa karibu wanasikilizana sana
Hawa watu wanakuwa kama wana relate back days nilikwenda ubaroz wa msumbishi kukata emergency pass, nchi ambazo niliruhusiwa kuingia ni pamoja na Zambia na South Africa.
 
Utaendaje nchi ya watu bila ya Passport ???
 
Tatizo Watz wezangu waoga sana kutembea na kujifunza kwanza kabla ya ku plan nini cha kufanya. Anatakiwa atenge kiasi kidogo cha pesa akatembee hata siku mbili au tatu. Umemshauri vizuri
Hiyo hela ya kwenda na arudi tena, na aende tena inatoka wapi mkuu?
 
Kiingereza japo walioko karibu na Msumbiji wanatupia na Kireno. Pia Zambia wana lugha zao za kikabila but da most spoken language is english
Siku moja nilikuwa kwenye daladala(kipanya)natoka maeneo ya state area nakwenda mjini,nashangaa gari zima anayejua uingereza ni mmoja mdada fulani hivi,yani konda hajui kingereza na abiria wengine pia hawajui,na nilikuwa naulizia kituo fulani hivi cha kushukia kabla ya kufika town Kati,by the way ni jiji zuri sana kwasababu halina fujo kama Dar.
 
Mkuu, ukitaka biashara nzuri fanya biashara ya kuuza chakula, fungua restaurant sababu Wazambia hawajui kupika, utapiga pesa mpaka ukimbie mwenyewe , Wazambia na Wamalawi kupika ni zero kabisa,
Una uhakika mkuu?au Zambia gani waongelea wewe?labda vijijini,ebu shuka tu pale jijini Lusaka chukua chai na mkate,angalia chai ilivyo nzuri na mkate, imagine huyo ni mama ntulie wa kawaida Tu,vipi migahawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…