Maisha ya Zambia

Nenda TU huko fursa zipo...Kuna biashara za kufanya utazipata TU...
SANA sana Nenda kitwe..nilikaa sana Haki kamji kidogo panaeleweka

OVA
 
Bro funguka vizuri basi
Enzi zetu tulikuwa tunapeleka cd kuuza...Kuna wengine walikuwa wanapeleka nguo kuuza,Kuna wengine wanapeleka nataka na vyakula....Kuna jamaa zangu wakijuwa wanapeleka Samaki aina ngonda toka ziwa rukwa....
Zambia nmekaa miji mungu TU Ila kitwe,pametulia kuanzia wenyeji hadi mazingira
USIOGOPE we tía timu laizima utapata picha huko wa nini kufanya...

OVA
 
Unajua nakufatilia kwa makini sana bro, we shuka madude bri
 
We nenda bwana, maisha kule safi.
Hebu fikiri shillingi laki moja ya Tanzania sawa na kwasha millioni 1.

Nenda usichelewe......
 
Unajua nakufatilia kwa makini sana bro, we shuka madude bri
N'a pia kulikuwa n'a fursa ya kukusanya skrepa
Nishapiga hiyo mishe huko n'a kuleta tanzania zambia Kuna skrepa za kumwaga sema badaye,kukawa na longolongo wakazuiaa skrepa kuingizwa..
Nakumbuka tulikuwa tuna piga kambi kitwe....Kuna sehemu Kama unaelekea chingola katikati hapo panaitwa musengaa..watu tukawa tumeweka pozz....tunafanya yetu.
We Nenda katembea kwanza ukajifunze
utapata TU idea


OVA
 
Lusaka ndio penyewe, fursa kibao, watanzania wapo kila sekta. Ungesema ni nini ungependa kufanya ili tujue namna ya kukushauri.
 
Tatizo Watz wezangu waoga sana kutembea na kujifunza kwanza kabla ya ku plan nini cha kufanya. Anatakiwa atenge kiasi kidogo cha pesa akatembee hata siku mbili au tatu. Umemshauri vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…