Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Una uhakika kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki!?Zamani wanawake wengi hawakufanya kazi waliolewa na kuishi nyumbani tu,,wanaume wengi hawakupenda wake zao wafanye kazi bali waishi tu na kuzaa watoto pamoja na kuwalea,wanaume walifanya kazi na kulea familia na ndoa zilidumu tu
Wanawake sasa wanasisitizwa kusoma na wafanye kazi sasa watoto wa kike wanajituma sana kwenye kazi,wanasoma sana ,lakin ndoani ni vuruvuru mara mke kachoka mara kiburi,tafrani tu ,
Pia sasa wanawake wanafanya kazi ili kulea familia zao mfano mme anaweza fariki mwanamke kama ana kazi au kipato ataendelea vyema kulea wanae,
Najiuliza zamani wanawake hawakufanya kazi na kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki waliwezaje kujimudu na kulea watoto maana wazazi wengi zamani hawakufanya kazi wachache sana, najiuliza maisha ya zamani yalikuwaje ?waliwezaje ?
Mama G
ili kuwe na vichwa 2 kwenye familia eeWanawake sasa wanasisitizwa kusoma na wafanye kazi sasa watoto wa kike wanajituma sana kwenye kazi
PointUna uhakika kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki!?
Kama wanawake wa zamani walikuwa hawasomi, kazi yao ni kuolewa na kuzaa watoto na ndoa zilikuwa zinadumu sana... na wanawake wa kisasa ambao wanaruhusiwa kusoma sana na kubeba nyadhifa mbalimbali, kitu kilichopelekea ndoa nyingi kuwa na misukosuko; tafsiri ya kawaida ni kwamba wanawake wa zamani walikuwa wanaishi ndoani wakiwa na maumivu makubwa mioyoni.. kwa vile hawakuwa na options za kujisimamia then they had no choice ya kujing'atua ndoani.
Binafsi siamini ktk kung'ang'aniana ndoani.. muda ukififika if you feel you no longer have attachment to your bussiness partner (wife or husband), ni vema kila mtu akachukua hamsini zake.
yna3Point
Lengo siyo kuwa kichwa kwenye familia...lengo n kujikwamua kiuchumi...n mwanaume gan zama hiz angependa kuoa mwanamke ambaye hajielew na ambaye hawez kupambana kuinua uchumi?ili kuwe na vichwa 2 kwenye familia ee
duh, ina maana uku Lindi Nachunyu hawajielewi?Lengo siyo kuwa kichwa kwenye familia...lengo n kujikwamua kiuchumi...n mwanaume gan zama hiz angependa kuoa mwanamke ambaye hajielew na ambaye hawez kupambana kuinua uchumi?
Jibu nahisi utakuwa nalo maana mm hao wa Lindi siwafahamu mkuuduh, ina maana uku Lindi Nachunyu hawajielewi?
nawakilisha Nachunyu Mkopwe: Wake zetu ni housekeepers , na sisi ni bread-winnersJibu nahisi utakuwa nalo maana mm hao wa Lindi siwafahamu mkuu
Halafu ww pia ndiye unayejua unataka mke wa aina gan kama ww n mwanaume .
Bas wewe utakuwa mwanaume wa tofaut Sana... Sahiv hakuna mwanaume anayeoa home mother... Wote wanataka mwanaume na mwanamke mpambane kuinua uchumi wa familianawakilisha Nachunyu Mkopwe: Wake zetu ni housekeepers , na sisi ni bread-winners
sawa iyo itakua dar lakini, maana uku ni mwendo wa kulima Coral Show na kuwauzia 'wanajeshi' tukirudi , tunaandaliwa 'msosi' , 'kubarizi' na 'kulala'Bas wewe utakuwa mwanaume wa tofaut Sana... Sahiv hakuna mwanaume anayeoa home mother... Wote wanataka mwanaume na mwanamke mpambane kuinua uchumi wa familia
mke aitakiwi afanye kazi nje na nyumbani,sikuizi watu mnaupungufu wa kufikiri.Una uhakika kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki!?
Kama wanawake wa zamani walikuwa hawasomi, kazi yao ni kuolewa na kuzaa watoto na ndoa zilikuwa zinadumu sana... na wanawake wa kisasa ambao wanaruhusiwa kusoma sana na kubeba nyadhifa mbalimbali, kitu kilichopelekea ndoa nyingi kuwa na misukosuko; tafsiri ya kawaida ni kwamba wanawake wa zamani walikuwa wanaishi ndoani wakiwa na maumivu makubwa mioyoni.. kwa vile hawakuwa na options za kujisimamia then they had no choice ya kujing'atua ndoani.
Binafsi siamini ktk kung'ang'aniana ndoani.. muda ukififika if you feel you no longer have attachment to your mwabussiness partner (wife or husband), ni vema kila mtu akachukua hamsini zake.