Maisha ya uswazi/uswahilini

Maisha ya uswazi/uswahilini

Embu tupeane uzoefu juu ya maisha haya. Muda mwingi nikiyafikiria nayaona matamu na yanaweza kukutengenezea hadithi ndeefu yanye furaha. Kwa mfano ukae mitaa ya tandale, keko, manzese, mchikichini, magomeni, mwananyamala, buguruni na sehemu nyingi zilizochangamka na watu wanajichanganya hatarii. Nakumbuka nilikaa kwenye nyumba flan pale buguruni malapa dah yan pamoja na kero ndani ya nyumba nilipata raha sana kwa yale mauno ya vigodoro ambapo karibia kila baada ya siku 2 lazima mauno nje ya nyumba nilipenda kwa sababu nililiwa najivutia tu ndani nagegeda narudisha nje. Sema kulikuwa na fala mmoja usiku ndo muda wake wa muziki anafungulia kiasi kwamba kulala ni majaaliwa hadi uzime umeme kwenye main switch.

Uswazi safi sana tofauti na kule wanakojifungia au kwa wachoyo..

Embu tupe uzoefu wa maisha yako ya uswazi hapa.
Kuna jamaa nilikua nakaa nae ni dereva was Kosta anamke Bomba balaa alikua anatoka saa kumi namoja akitoka tu mi nazama najilia mzigo mpaka saa 2 naenda zangu mishe mbaya zaidi Dem alikua anatoka nimuamber ruty anasema jamaa anarudi kachoka hawezi kitu
 
Hivi na sisi wa mtoni kwa chaurembo tuna sifa ya kuitwa wa uswazi au uswazi ni mwananyamala tu?
 
Kuna jamaa nilikua nakaa nae ni dereva was Kosta anamke Bomba balaa alikua anatoka saa kumi namoja akitoka tu mi nazama najilia mzigo mpaka saa 2 naenda zangu mishe mbaya zaidi Dem alikua anatoka nimuamber ruty anasema jamaa anarudi kachoka hawezi kitu
Bila picha siamini.
 
Back
Top Bottom