Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Hahah!! Embu niache..Hahaaa. Rafiki wacha Weeee.
Nimekumbuka ila stor yako ya mchele wa maonyesho

Hahah!! Embu niache..Hahaaa. Rafiki wacha Weeee.

Hahaaaaa. Nshakuacha Hajar wa watu.Hahah!! Embu niache..
Nimekumbuka ila stor yako ya mchele wa maonyesho![]()
Hahah!..Hahaaaaa. Nshakuacha Hajar wa watu.
Wacha kabisa rafiki Uswahilini ni noma. We wa Masaki isikie tu.
Hahahaaa. Au ule muda wa jioni baada ya watu kula cha jioni waweza kasirika.Choo cha folen halaf kuna wengne wakiingia mpk unawasahau ukichek saa mda wa kazin unaenda....
Mie napenda ile saa ya kupika kila mmoja na jiko lake uani, sasa yule wa dagaa na mchicha daily full mafumbo kufumbiwa hadi kero

Duuh. No mchuzi hiyo.Hahaa unapika nje ugali ukimaliza unaenda kununua miguu ya kuku na utumbo na pilipili pembeni unakuja kula na ugali
Hahaaaaa. Kweli kabisa rafiki huo ndio ukweli.Hahah!..
Ni kawaida tu rafiki siunajua tena lazima tugawanyike...
Unakaa wapi? Naomba niwe rafiki yakoNikweli ndugu sina uzoefu wa huko labda ninavyoonaga kwenye TV tu
Pale Masaki ndio kwa wazee wangu nimekuli huko
Hahah!!Unakaa wapi? Naomba niwe rafiki yako
Hahahaaa...umekoseaFatuma bila shaka unakaa mwananyamala
Raha sana kuliko wtt wa wauzungun wanaocheza na tv mda woteHahahaaa. Au ule muda wa jioni baada ya watu kula cha jioni waweza kasirika.
Au ile Alfajiri. Nikikumbuka Uswahilini lol. Ila kuna raha yake Mkuu.
Hahahahaaaaa...kwel aiseeHakuna haja ya nguo kwa wamama,,tunasomba Maji na kwenda gengeni kwa kombo na kanga kifuani tu.
Afu nikipika maharage naenda kwa jirani kuomba mchuzi nasingizia nimwekee mtoto kwenye ndizi, nikiamini ataweka na kinyama kimoja ,, acha kabisa
We unakaa mwananyamala tena kwa kwa mama zakaria usibishe,kila siku nikipita kushusha abiria nakuona kibarazani unapiga umbea,Hahahaaa...umekosea
Hahahahahaaaaaaaaaaaa...aiseeWe unakaa mwananyamala tena kwa kwa mama zakaria usibishe,kila siku nikipita kushusha abiria nakuona kibarazani unapiga umbea,
Choo cha folen halaf kuna wengne wakiingia mpk unawasahau ukichek saa mda wa kazin unaenda....
Kuna siku nlitaka nkupige picha,sema dereva akaondoa gar fasta,si unajua me konda ikabid nidandie chapHahahahahaaaaaaaaaaaa...aisee
Hahaahaaaaa..du we kwel muongoKuna siku nlitaka nkupige picha,sema dereva akaondoa gar fasta,si unajua me konda ikabid nidandie chap