Maisha ya Uswahilini

Maisha ya uswahilini nimeyapitia kipindi fulani. Nilikuwa nakaa kwa kaka yangu wakati nikiwa mwanafunzi. Baba na mama mwenye nyumba wakiniita mkwe, mkwe... Basi binti wa mwenye nyumba akanipenda. Yeye mwenyewe kaanza. Kitu ambacho sikujua, alitaka mapenzi bila kuchelewa. Mimi nikajifanya mkaka mstaarabu. Kumbe ile hakuipenda. Baada ya wiki, kaka akanambia amelala naye wakati niko shuleni. Nikamuuliza kivipi. Akasema alikuja akamkuta anapika, akamwomba amsaadie. Akapika ugali, wakala. Halafu alivyoshiba akaomba kupumzika kitandani kidogo... Nilishangaa sana kwa vile nilikuwa mgeni uswahilini. Nakubaliana na wale wote waliosema watu wa uswahilini siyo wachoyo. Wanashirikiana kwa kila kitu.
 
Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni ya kuunga unga. Ukipata shida hawatakuacha. Kama hawatakuwa na pesa ya kukusaidia watamtafuta Gea Habib awasaidie kuitangaza ili upate msaada.

Waswahili wameambukiza tabia mpaka kwa wanyama, hii siyo haki kabisa
Your browser is not able to display this video.
 
Bila kusahau uswazi mtu anaingia bafuni kuoga na maji tundoo robo na mswaki jiulize maji ya kupigia mswaki anatoa wapi uswahilini ukitaka maharagwe yapo yaliyochemshwa ya kupima , Uswahilini kila kiungo cha kuku kinauzwa kasoro manyoya ,Uswahilini kuchele
 

Mzee wa fursa nakuona huchezi mbali uswazi full mauno feni

Cc Kingsmann
 
Bado ikitokea shughuli watu wanabeba wali kwenye mifuko kula majumbani kwao....
 
Uswahilini Kama kwa jirani Kuna msiba au hitima nyumba zingine wote hawapiki siku hyo wanakula kwenye msiba mpaka watoto wait

Uswahilini unasonga ugali Kwanza ndio unatoka mtaani kutafuta fungu la samaki au vichwa vya kuku

Uswazi sukari inauzwa kwa kijiko

Uswazi muda wowote ngumi na kusutana

Uswazi asubh mwanaume anatoka na taulo barabarani anapiga mswaki kawaida Sana

Matusi Sasa ndio usiseme maana matusi Ni lugha ya kawaida saaana Hadi watoto wadogoo wanatukana

Maandazi wanakandia kwenye beseni la kufulia na kuogea na yanauzwa na watu wanagombania

Uswazi Mambo Ni mengi
 
Ukiwa na kazi ya 300k+ take home,uswahilini wewe bonge la tajiri
nina mpango wa kurudi uswazi kodi yangu ikiisha mwaka huu
 
Ila kuna siku lazima wakufume af wanakuhifadhi, siku mkikosana tu kinakua KICHAMBIO hadi utakoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…