Maisha ya Uswahilini

@Zero IQ
Leo Mkuu umekuja penyewe
 
Ila watu wa pwani na visiwani kiboko. Alfajiri mtu kashamaliza mtaa eti anasalimia. Wanawake wa pwani wanakaa kijiweni kuelezea walivyofanywa usiku.
eti leo kanabanduka saa 12..sijui nani kawaambia wengine hawapandwi!
 
Ndivo kuliko huku uswahilini kwetu mtani

Siku mmoja fanya kutembelea na uku
Nimeunda ka kikundi ka ngoma za Uruguay
Kwa ajili ya amsha amsha kwa mkwapa na kwengineko sitaki matani Mimi.
 
Uswahilini bhaana!

Ukiwa mzee wa round au kuwapiga chain, huchelewi kukamatwa.

Kuambiana kwao kanafanya uwahi kujulikana mapema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…