Nafikiria nirudi,lakini pia nafikiria aliwakwaza sana wazazi wangu na hawataki kusikia namrudia, na pia nafikiria jinsi gani nitashangaza ulimwengu na pia nafikiria ni jinsi gani nitamwambia huyu boyfriend kuwa simtaki tena nitamuumiza kwa maana ana mategemeo makubwa sana kutoka kwangu. Si unajue yale ya i love you so much, i will marry you.Ok ni vizuri, nini msimamo wako sasa kuhusu mumeo wa mwanzo?
Japokuwa umeamua lakini naona kama sababu za kuachana ziko katika nafasi ya kurekebishika kama bado mapenzi yapo ya nini kumuhangaisha mtoto kiasi hicho?
bado lakini ninawaza hivyo, tatizo wazazi hawanielewi kwa maana alionyesha utovu wa nidhamu sana wanasema nitaenda kuteseka. yeye mwenyewe anataka turudiane hayuko tayari kuoa asipopenda he says.
nawaza what if he hasnt changed na this time ndo aninyanyase ya funga mwaka. Nataka kurufi tumlee mtoto pamoja ila naogopa. kingine mi jamii iliyotuzunguka ilishuhudia vituko vyake vyote na ndo mana wazazi wangu hawamtaki..sijui hata nifanyeje.Na wewe unawaza nini kuhusu kurudiana nae? Am curious to know!! Tafadhali..
ht.Wewe noella, watu hawabadilikiiiiii!
dating your ex is next to insanity. Bado Tu hujamove on? Unamsumbua mwanao, keshazoea kutokuwa na Baba. Hebu jipange bwana, tafuta boifrendi umdate kwa siri mwanao asijue. Wooi!
Taratibu kaka, mimi nilikuwa naulizia tu ili nifahamu, tafadhali usijenitoa meno bule.Elizabeth Dominic mpe taadhari uyu bwana
Taratibu kaka, mimi nilikuwa naulizia tu ili nifahamu, tafadhali usijenitoa meno bule.
Wewe noella, watu hawabadilikiiiiii!
dating your ex is next to insanity. Bado Tu hujamove on? Unamsumbua mwanao, keshazoea kutokuwa na Baba. Hebu jipange bwana, tafuta boifrendi umdate kwa siri mwanao asijue. Wooi!