Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Dah! huo ugali atamaliza mwenyewe au ana mgeni.
Haha mi nimefurahi tu kuona chata la dirisha pale....inaonyesha washkaji washampitiaga one time!!!
hao samaki wako wapi?ugal mwingi samaki wawili + mchuzi wa kutosha.
kipimo cha kiatu mpime mvaaji-huenda si mwingi ati Pengine kuna ndume yake ndaniduu huo ugali mwingi mpaka jioni ninini?
Kwani ilikua mchana wakati anaupika?Duu huo ugali mwingi mpaka jioni ninini?
mkuu hii picha imetumwa mchana huukwani ilikua mchana wakati anaupika?
du we ni mchunguzi
Mkuu hiyo I'd yako ntapata wapi hicho kitabu?Nyie mnaotaoa kommenti hapa. Nauliza maswali. Mmejuaje kwamba huyo mtasha ni bachelor? Mwanaume hatakiwi kusonga ugali? Pili, mmejuaje kama huo ugali atakula yeye peke yake? Mmeingia ndani ya nyumba mkaona kuna watu wangapi? Ndio maana nasema mnatoa mada za kitoto hapa. Kama hamna cha kuandika kaeni kimya. Someni michango ya watu walioenda shule.
Nyie mnaotaoa kommenti hapa. Nauliza maswali. Mmejuaje kwamba huyo mtasha ni bachelor? Mwanaume hatakiwi kusonga ugali? Pili, mmejuaje kama huo ugali atakula yeye peke yake? Mmeingia ndani ya nyumba mkaona kuna watu wangapi? Ndio maana nasema mnatoa mada za kitoto hapa. Kama hamna cha kuandika kaeni kimya. Someni michango ya watu walioenda shule.
Mkuu hiyo I'd yako ntapata wapi hicho kitabu?
Mara ya mwisho nilikisoma mwaka 1988 nikiwa std2.
mazee unaulizanga maswali mingi kwani we ni polisi???
Kaka sio hivyo. Kuna members hapa wanaleta mada za kitoto sana. Tunataka kuikomesha hii tabia ya kuleta mada za kipuuzi hapa ndani. Wakishajua kuna mwanamalundi hapa ndani, hawawezi tena kuleta mada za kitoto.