Maisha ya ubachela ni vituko

Kupika sio issue, ila kuosha vyombo sio mchezo.
Mbinu za kukabiliana na changamoto za kuosha vyombo ziko zamani.nilikua nachanganya vyombo vyangu na vya mwenye Nyumba kwenye Caro.mwanae anaosha anajua vyao nikirudi jioni navikuta vimeanikwa nachukua.sema walikuja nishtukia nikawa na mpooza dogo na viela vya vocha anaosha
 
NOMA SANA nami nitafika huko tu.. ila nikitaka kufua silogwi kuiliweka maana hua inatoa hadi vidudu mwishoni inaenda jalalani..

Kiss daniel namkubali sana salam zake zimefika..
hahaaa aiseeee ..upo kama mimi tu..sema kimbilio langu kuu ktk ufuaji lilikuwaga kwa mama mmoja Hivi ..huyo alikuwa na machine yakufulia anafnya laundry"""
bhasi mimi nilikuwaga nimteja wake wakudumu ..siwezi kumsahau kabisa yaani ..alikuwa ananistiri mnoo...


kiss Daniel ..anatisha mnoo..only kwawanao jua music tu
 
Da! Mwenye nyumba mwenyewe mlevi, anaweza akaviuza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo trick ni RISK mwenye nyumba anaweza kuandikia NOTES
 
Daah ebhana zisikieni kazi za ndani. Kupika, kuosha vyombo, kufua, kudeki n.k siyo poa. Napenda kupika ila nikifikiria swala la kuosha vyombo nachoka.

Sasa kuna siku nilipiga boko kwenye nyanya chungu na bamia asee nilihara balaa, siku mbili sitoki natoka kula gengeni. Mpk nilipokaa sawa ndio nikaanza kupika.
 
Maisha ya ubachela raha sana !!!. ...


Hapo kwenye kuloweka sufuria ya ugali !!! Teheeeee ...alafu ushikwe naubize hata wiki.
 
Hivi ni lazima kulala ndani ya chandarua? Mimi hata sikumbuki mara ya mwisho lini nimelala ndani ya net.
Mkuu umbu unawaponaje, maana nisha jaribu kulala bila neti matoke yake nilipimwa na kukutwa na vidudu 12 vya maleria
 
Kweli dogo mtata huyu namfuatilia toka 2013..

Hafu sinaga nguo za vitambaa ni jinzi tu yaani hua na2aza sana nikitaka kufua
 
Uliyo ya andika ndio taswira ya wewe na maisha unayo ishi.
Mimi nimekua bachelor, tena nilikua senior bachelor kwa muda mrefu sana, lakini sikuwahi kuishi maisha ya hovyo kama hayo aiseeeee......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…