Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Wakosa=Xhosa.Nmejifunza tu kuwa wakosa awataki watu katika nchi yao tunalazimisha tu pia nimetoa tongo tongo ya macho kutembea kuijua dunia pia
Wakosa=Xhosa.Nmejifunza tu kuwa wakosa awataki watu katika nchi yao tunalazimisha tu pia nimetoa tongo tongo ya macho kutembea kuijua dunia pia
Aiseeh chalii yangu Semenya.Dah kweli binadamu wote si sawa. Yani unapolalamika maisha magumu sauz na unarud kwenye ugumu zaidi nacheka sana hadi hapa legal team na jopo la mafinancial advicers wangu wananishanga.
Asubuhi nilikuwa Swissbank later on the day nilikuwa Swiss credit. Kesho napaa na gulf stream private jet deutsch benk on Monday kwa malkia HSBC.
Sitaki kuweka wazi idadi ya hela nilizoweka kwenye hizo benki msije mkashikwa na cardiac arrest humu jamvini
Dah kweli binadamu wote si sawa. Yani unapolalamika maisha magumu sauz na unarud kwenye ugumu zaidi nacheka sana hadi hapa legal team na jopo la mafinancial advicers wangu wananishanga.
Asubuhi nilikuwa Swissbank later on the day nilikuwa Swiss credit. Kesho napaa na gulf stream private jet deutsch benk on Monday kwa malkia HSBC.
Sitaki kuweka wazi idadi ya hela nilizoweka kwenye hizo benki msije mkashikwa na cardiac arrest humu jamvini
Ukiona hivyo alidhulumu mali za watu.mwaka 2016 kuna jamaa yangu mmoja ambaye nimecheza nae katika makuzi yangu ya utotoni, aliuwawa kinyama sana huko south africa. mbaya zaidi wauaji walimua mpaka mke wake na mtoto mchanga.
hiyo nchi ni kama jehanamu inapofika matukio ya kiharifu.
rest in peace rafiki yangu saidi mtoto wa tandika magorofani.
basi sawaUkiona hivyo alidhulumu mali za watu.
Biashara haramu unafanya uharamu wadai hawashtaki wanadeal na wewe
Naona hamjuiHumjui Kiduku Lilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakua twin wakeHumjui Kiduku Lilo
Ndio capetownUpo wapi?Cape town, WC?
Usisahau kurudi na cheni ya silver
mwaka 2016 kuna jamaa yangu mmoja ambaye nimecheza nae katika makuzi yangu ya utotoni, aliuwawa kinyama sana huko south africa. mbaya zaidi wauaji walimua mpaka mke wake na mtoto mchanga.
hiyo nchi ni kama jehanamu inapofika matukio ya kiharifu.
rest in peace rafiki yangu saidi mtoto wa tandika magorofani.
Uje na Mohamed Msika mkuu
Jitahidi passport yako wasiiblock
Coz najua ukiingia tu kwa mzee magu lazma uimiss dzonga
Winter time inaenda kwisha inaingia summer, sasa hiyo summer time ya kibongo tu stress joto mpaka kwenye roho ajira huku ni kubet
Vijana wanaitafuta jero ya mkeka kwa tochi
Angalau kama una ka elfu40 rand nyana unaweza ukajaribu lakini kama una kaelfu10 au nauli tu sikushauri bongo
Kaburu kubwa hiyo hama mji tu badili biashara
Cji kutafut nnKaribu tena mbagala zakiem
Wakosa=Xhosa.
Hahahaha ata kweli mkuuBora urudi.usije ukaingia kwenye unga