Maisha ya South sio mchezo, narudi nyumbani

Maisha ya South sio mchezo, narudi nyumbani

Unacharazia mabaharia home boy... we kama yamekushinda rudisha mpira kwa kipa kimya kimya.. kibaharia una kesi ya kujibu. We nenda sie tupo sana labda kaburu afinye arudishe bongo. Na hata tukirudishwa tunadunda kama kitenesi kwani bongo yenyewe si nyuma ya mbeya tu apo.
Sawa mkuu sijachalazia mabaharia ata cku nakuja niliandika na nilipo fika niliandika now naondoka acha pia niandike
 
Ata hme mali zipo kama ukituliza ndose mkuu
Mzee hata haujamaliza hata kamwaka umeshakata tamaa.

Hakuna Dunia hii unapofika na kuchota mali... utasemaje ukishafika rudi nyumbani!!
 
Captown
20190822_132851.jpeg
 
Dah kweli binadamu wote si sawa. Yani unapolalamika maisha magumu sauz na unarud kwenye ugumu zaidi nacheka sana hadi hapa legal team na jopo la mafinancial advicers wangu wananishanga.

Asubuhi nilikuwa Swissbank later on the day nilikuwa Swiss credit. Kesho napaa na gulf stream private jet deutsch benk on Monday kwa malkia HSBC.

Sitaki kuweka wazi idadi ya hela nilizoweka kwenye hizo benki msije mkashikwa na cardiac arrest humu jamvini
Jon Stephano vipi Kiduku Lilo ana udugu na wewe?😉😁

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Usisahau kurudi na cheni ya silver
 
Dah kweli binadamu wote si sawa. Yani unapolalamika maisha magumu sauz na unarud kwenye ugumu zaidi nacheka sana hadi hapa legal team na jopo la mafinancial advicers wangu wananishanga.

Asubuhi nilikuwa Swissbank later on the day nilikuwa Swiss credit. Kesho napaa na gulf stream private jet deutsch benk on Monday kwa malkia HSBC.

Sitaki kuweka wazi idadi ya hela nilizoweka kwenye hizo benki msije mkashikwa na cardiac arrest humu jamvini
Binamu yake kiduku lilo katika ubora wako
 
Ndugu maisha ya south sio powa naamua kurud home kuendeleza maisha kama kawaida maisha ndo yale yale akuna tofaut
mwaka 2016 kuna jamaa yangu mmoja ambaye nimecheza nae katika makuzi yangu ya utotoni, aliuwawa kinyama sana huko south africa. mbaya zaidi wauaji walimua mpaka mke wake na mtoto mchanga.

hiyo nchi ni kama jehanamu inapofika matukio ya kiharifu.

rest in peace rafiki yangu saidi mtoto wa tandika magorofani.
 
Jitahidi passport yako wasiiblock
Coz najua ukiingia tu kwa mzee magu lazma uimiss dzonga
Winter time inaenda kwisha inaingia summer, sasa hiyo summer time ya kibongo tu stress joto mpaka kwenye roho ajira huku ni kubet
Vijana wanaitafuta jero ya mkeka kwa tochi
Angalau kama una ka elfu40 rand nyana unaweza ukajaribu lakini kama una kaelfu10 au nauli tu sikushauri bongo
Kaburu kubwa hiyo hama mji tu badili biashara
Sawa mkuu nakuja kulima ayo ayo nitakula na kuishi freshi
 
Back
Top Bottom