Maisha ya South sio mchezo, narudi nyumbani

Maisha ya South sio mchezo, narudi nyumbani

Sawa mkuu asante kwa mawazo yakoo
Kama mtu unashindwa kupambana kwenye nchi ambayo ndio most industrialized and economic powerhouses in Africa basi wewe huna sifa ya upambanaji.

Na ni bora urudi tu huku kwenu umsaidie mama yako kuosha vyombo na kuchambua dagaa!
 
Sisi tunakomaa uku wasalimie wote uko bongo maisha ni uvumilivu ilakama bado hujaondoka karibu Capetown wanaume tunaganga huku acha kujitenga wewe
Nipo captown wewe upo sehemu gani
 
Ulizani huku kwa bi mdash nini baharia apa ni kwa mkaburu kama huwezi kuzingatia basi nenda beach kadandie chuma uende maulaya bunda moja baharia

Cha pili punguza kujichanganya maskani za masela fanya yako baba au na kaburu unaona noma kufungua ndau mzesßß
 
Asanye sana mkuu kwa mawazo yako
 
Kama mtu unashindwa kupambana kwenye nchi ambayo ndio most industrialized and economic powerhouses in Africa basi wewe huna sifa ya upambanaji.

Na ni bora urudi tu huku kwenu umsaidie mama yako kuosha vyombo na kuchambua dagaa!
Ha ha ha true
 
Jitahidi passport yako wasiiblock
Coz najua ukiingia tu kwa mzee magu lazma uimiss dzonga
Winter time inaenda kwisha inaingia summer, sasa hiyo summer time ya kibongo tu stress joto mpaka kwenye roho ajira huku ni kubet
Vijana wanaitafuta jero ya mkeka kwa tochi
Angalau kama una ka elfu40 rand nyana unaweza ukajaribu lakini kama una kaelfu10 au nauli tu sikushauri bongo
Kaburu kubwa hiyo hama mji tu badili biashara
Nifanye nn ili wasiiblock ndugu yanguu
 
Kama umeover stay angalau uwe na 1000 au 1500 rand ya kuwaachia hapo boda watakuwekea mambo sawa
Mkuu mambo yalikwenda powa kabsa mkuu niliwapa R400 tu wakaweka kila kitu fresh
 
Back
Top Bottom