Maisha ya South Africa daaah!!

Tabia za wanawake wa Kisouth vipi mkuu?

Ukimuoa ukamleta bongo anatulia?, Wanatoa papuchi faster au ndo mambo ya kumaliza soli za viatu kufukuzia demu.


Wazawa wengi wake kwa Waume huwa hawapendi kuishi nje ya nchi yao ila kuhusu mambo ya papuchi South ushindwe wewe tu,hasa hasa kama unao mpunga basi utakula mademu wakalii wa rika zote mpaka basi,sijapata kuona nchi ina pisi kali kama south halafu poa poa tu!!
 
njooni mlime mbogamboga huku, wachina wanakausha mito tu huku....

Next weekend njoo mitaa ya Sandton unywe bia.


Haaah haaah mkuu unaniambia nije bongo kulima mboga mboga halafu hapo hapo unaniambia next weekend nije sandton kunywa bia,sasa unanichanganya sijui nichague kilimo au kula bata mitaa ya kishua sandton !!
 
Hayo mambo hapo Keko ni kawaida sana
 
Vipi mzee huko harakati gani zinalipa unaweza ona huku bongo tunajichelewesha tu aysee


Mwanangu South ya sasa labda uje kuchukua mazaga zaga then unapeleka bongo kukimbiza,ila kuja kukomaa hapa hapa sio poa kabisa kwa sasa,ingawa kila mtu na akili pamoja na mavumba yake,si unajua maisha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…