Maisha ya South Africa daaah!!

Maisha ya South Africa daaah!!

Sehemu yoyote dunia hii, kama hauna shuguri maalumu ya kukuingizia kipato maisha lazima utayaona magumu tu period.

Sio kwamba watu hawana mishe za kufanya,ila sasa hivi mambo yamechange sana tofauti na kitambo

Yaani kazi hiyo hiyo kitambo ulikuwa unaingiza labda 2000R per day,sasa hivi hata hiyo Rand buku hupati,umeshaona?
 
Hapa ndo naelewa ni Kwanini maeneo ya Tandale na Temeke asilimia kubwa ya Vibaka wana mafunzo ya Martial arts na kila jioni hufanya mazoezi makali ya kukimbia.. Ilhali kazi yao inajulikana ni wizi tu!

Haaah haaaah!! hao ni sheeeda piga sana boxing,yaani unakabwa halafu ukijafanya unayaweza unapewa uwanja mtu mbili tu hakuna kuingilia mtu,sasa ole wako uwe mtoto wa mama utapasuka sana!!
 
Hakuna jamii iliyopagawa na mambo ya gangs South kama ma coloured,western cape,port na cape town huko gangs ndio mpango nzima,madogo waki coloured wameshajipindia!!
Walangilangi wanapenda sana mambo ya kigengstar,,,, mtoto wa kilangilangi akitoka jela atazunguuka lokshini ya kwao yote wamuone huku anadunda,, basi hapo kwao atanunuliwa dundo jipya la Jordan na kila sister du hapo atamshobokea,, hawa watu wendawazimu kweli
 
Haaah haaah!! Sema wasipokuwa kwenye ma gangs ni watu flani poa sana
 
Unajua maisha haya bongo watu wengi wameshachoka sana tu ila amekosekana HERO wa kulianzisha tu ili watu wamalize kila kitu,na siku akitokea tu huyo mtu,yaan acha kabisaaa....

Talking about a hero,inanipeleka moja kwa moja kwenye tukio moja hivi one day pande za hillbrow

Nakatiza kwenye boda langu flani hivi ambalo daily huwa napita nikiwa naenda au narudi kwenye mishe zangu,sasa nimefika kwenye hii apartment ya Gate Way upande wa pili naona nyomi kama lote, watu kibao

Ikabidi nisogee ili nione kuna nini kinaendelea,nafika pale nakuta kuna mwana yupo chini analia tu full midamu,ameshapasuka vya kutosha halafu kuna mchizi kasimama mbele yake,anamungalia kiroho mbaya then anaendelea kumtia vitasa na mateke ya kufa mtu mpaka anachoka mwenyewe,anamwangalia tena kiroho mbaya huku anavuta pumzi then anarudia tena kumtandika kihasira

Daaah!!inauliza watu vp hapa mbona hivi,Si atamuua huyu? .... kuna mwana akanipa full story....

Ukiwa unaambaa na claim street kama unakwenda darajani,ukishavuka tu mtaa wa Bok kwa mbele kidogo upande wa kushoto kuna mjengo mmoja mkubwa tu siku hizi unaitwa GATE WAY,ndani ya huu mjengo kwenye nafikiri ground floor kuna bonge la gym,na vile vile hii apartment inatumiwa sana na wanafunzi

Sasa hapa kuna kimtaa flani hivi kifupi tu ambacho ukikatiza unajikuta unatazamana tu na main gate la kuingilia kwenye hii apartment,ila tatizo la hiki kimtaa ni eneo la kujidai la watoto wa babu wale wazee wa ngeta,kuna Chaka lao hapa

Sasa kumbe huyu mchizi anayemtandika mwenzake kiroho mbaya alijichanganya akapita kwenye hiki kimtaa anaelekea gym,wazee wa kazi kama wanne hivi wakasema nae,fasta wakampukutisha simu yake Kali tu then kama kawa wakakimbilia kwenye Chaka Lao,ila mchizi akawaunganishia

Kabla Yule wa mwisho kuzama ndani ya Chaka mwana akamdandia mgongoni wakaenda wote mpaka chini hapo hapo kwenye mlango wa chaka,baada ya kufanikiwa kumdhibiti akamvutia pembeni kidogo halafu ndio akawa anatembeza kichapo kikali anataka simu yake

Ndio me nafika hapo na kukuta kichapo kinaendelea na watu kibao wanaangalia,sasa wakati Yule mwizi anakula kichapo pale chini wenzake wapo juu ya mjengo wanaona kila kitu ila wanaogopa kushuka chini ili kumsaidia mwenzao

Mwishowe wakaona isiwe tabu mwenzao atakufa hivi hivi,wakamtuma dada flani kuileta ile simu kwa yule mchizi,baada ya mchizi kupewa simu yake akaicheki cheki na kuona ipo fresh tu,akaomba aletewe begi pamoja na t shirt yake,kipindi anamtandika Yule mwizi alivua begi na nguo ya juu akawapa wapopo wamuhifadhie kwenye saluni yao hapo hapo tu kwenye huo mjengo Chaka wa wezi

Basi baada ya kupewa hivyo vitu vyake akaletewa na maji kuosha mikono maana ilikuwa imejaa damu,then mchizi huyo mdogo mdogo anasepa.sasa kabla hata mchizi hajamaliza hatua hata tatu,Yule mwizi akanyanyuka fasta anakimbilia ndani (kwa kile kichapo alichopewa watu waliamini Yule hainuki pale mpaka wenzake waje kumbeba)

Basi lile nyomi likalipuka kwa shangae za kufa mtu huku baadhi wakimuungnishia yule mwizi na makonzi ya hapa na pale mwizi hakujali akafosi kuingia ndani tu na wakati huo huo yule mchizi akashangiliwa sana wakati anasepa mdogo mdogo.

Sasa nilichojifunza pale ni kwamba,watu wengi pale mtaani walikuwa wameshachoshwa na tabia za wale wezi sema tu walikuwa waoga wa kudeal nao kwa namna kama ile ya Yule mchizi,ndio maana Yule mwamba akashangiliwa sana baada ya kurudishiwa simu yake,na hiki ndio ninachokiona ndani ya Bongo sasa hivi.

Enewei ngoja siku nyingine tena mashetani ya kuandika yakipanda nitawasimulia jinsi me mwenyewe nilivyopigwa hela na malaya ndani ya jozi na vile vile jinsi watoto wa babu wanavyokaba watu mchana kweupeee mitaa ya hillbrow na sisi 'raia ' tukiangalia huku nimetulia tulii kama vile hatuoni.
Hapa ni nini cha ajabu?
 
Rudini home
Kwani hatutaki kurudi?tatizo wengine tulikuja na mke na watoto, sasa ukipiga simu bongo kwamba unataka kurudi, ndugu na marafiki wanatutisha sana,kwamba bongo maisha magumu sana bora mbaki uko uko. Hapo ndo wanatuchosha, ila nimejifunza kitu, kwa kuwa wanaona akikuomba pesa unamtumia,kwa hiyo wanaona huku tunaishi vzr sana,kumbe tunajibana sana sisi wao wanapoomba msaada. Nimeamua kwa sasa mtu akiomba hela ni sina hela, nna hali mbaya, ili angalau nijikusanye turudi home mwakani Mungu akipenda.
 
Pale Hillbrow balaa sana.....nilishashuhudia jamaa wanapigania viatu na nguo za mtu aliyekuwa anatembea barabarani hana habari ..walipokubaliana ndipo wakaenda kumkaba
 
Kwani hatutaki kurudi?tatizo wengine tulikuja na mke na watoto, sasa ukipiga simu bongo kwamba unataka kurudi, ndugu na marafiki wanatutisha sana,kwamba bongo maisha magumu sana bora mbaki uko uko. Hapo ndo wanatuchosha, ila nimejifunza kitu, kwa kuwa wanaona akikuomba pesa unamtumia,kwa hiyo wanaona huku tunaishi vzr sana,kumbe tunajibana sana sisi wao wanapoomba msaada. Nimeamua kwa sasa mtu akiomba hela ni sina hela, nna hali mbaya, ili angalau nijikusanye turudi home mwakani Mungu akipenda.
mnaishi kwa tabu sana huko...nilijionea mitaa ya alexandria, soweto na hillbrow
 
Wazawa wengi wake kwa Waume huwa hawapendi kuishi nje ya nchi yao ila kuhusu mambo ya papuchi South ushindwe wewe tu,hasa hasa kama unao mpunga basi utakula mademu wakalii wa rika zote mpaka basi,sijapata kuona nchi ina pisi kali kama south halafu poa poa tu!!
kuna pisi kal sana kule pamoja na Swaziland...yaani kama sijaukwaa mpaka leo basi siukwai tena!
 
Hapa ndo naelewa ni Kwanini maeneo ya Tandale na Temeke asilimia kubwa ya Vibaka wana mafunzo ya Martial arts na kila jioni hufanya mazoezi makali ya kukimbia.. Ilhali kazi yao inajulikana ni wizi tu!
Asilimia kubwa ya Vibaka wa South afya mbovu,wao wanategemea sana mguu wa Kuku wakutulize nao ukileta ubishi!!
 
Kwani hatutaki kurudi?tatizo wengine tulikuja na mke na watoto, sasa ukipiga simu bongo kwamba unataka kurudi, ndugu na marafiki wanatutisha sana,kwamba bongo maisha magumu sana bora mbaki uko uko. Hapo ndo wanatuchosha, ila nimejifunza kitu, kwa kuwa wanaona akikuomba pesa unamtumia,kwa hiyo wanaona huku tunaishi vzr sana,kumbe tunajibana sana sisi wao wanapoomba msaada. Nimeamua kwa sasa mtu akiomba hela ni sina hela, nna hali mbaya, ili angalau nijikusanye turudi home mwakani Mungu akipenda.
Karibuni sana nyumbani.
 
Back
Top Bottom