Maisha ya South Africa daaah!!

Maisha ya South Africa daaah!!

vipi kuhusu kufanya biashara ndogo ndogo? biashara zipi zinafaa kulingana na mazingira ya SA


Biashara ndogo ndogo kitambo zimewatoa sana watu mpaka kupata mafanikio ya ukweli kwenye maisha,mtu alikuwa anauza sweets,sigara masimba matunda matunda nk na alikuwa bongo anajenga fresh tu kama akili anazo,ila sasa hivi hizo biashara zimevamiwa kila mtu anafanya hizo,yaani hamna kitu sasa hivi
 
MWIZI ANAPOIBIWA NDANI
YA 'FLOOR YA TATU'


Ilikuwa juma pili flani hivi ndani ya jozi, kama kawaida ya Chaka la floor ya 3 kila mtu anafanya lake ingawa ni usiku mwingi tu


Night Kali me nimeshalala kwa kuwa kesho yake juma tatu inabidi nidamkie kwenye mishe zangu,ila kwenye ghetto letu wapo wengine wachache vile vile wamelala kama mimi,wengine wapo nje au kwenye maghetto mengine wanapiga story na wengine wapo viwanjani kama culture inn na boxer night club wanakula maisha



Hivi viwanja culture inn na boxer club vilikuwa vinapedwa sana na wakazi wa Chaka la floor ya tatu kwa sababu vipo karibu sana na mjengo huu,na hii floor ya tatu ilikuwa ipo Kati Kati ya mitaa ya jeppe na bree ikiunganishwa na kimtaa flani kinaitwa Goud street



Mara nashtuka toka usingizini kutokana na makelele mule ghetto,kucheki fresh nini naona wana kibao wapo macho wanapiga story halafu kuna demu mmoja kaletwa na mchizi flani hivi anakwenda kwa jina la Asentawa(sentawa) kumbuka kwenye maghetto sometimes mnalala hata watu kumi si unajua maisha ya ghetto?



Basi story story wakati zinaendelea
Yule squizer wetu aliyekuja na mchizi akapewa kitanda ili alale maana alikuwa anechoka ukizangatia ameshanyeshwa vya kutosha na mchizi huko culture inn



Sasa sijui ilikuwaje Yule mchizi aliyekuja na demu akatoka nje kama anaenda chooni hivi halafu amemuacha demu amelala,kikawaida ukishakuja na demu machakani inabidi uwe nae muda wote,maana ukiwapa masela mgongo kidogo tu,utakuta wahuni wameshafanya yao kitambo sana,yaani sometimes demu anaweza hata kutoroshwa akafichwa humo humo machakani na wewe usimuone



Sasa mchizi ametoka nje na kibaya zaidi ameuweka usiku,wahuni wakaanza kujipigia yule demu,yaani akitoka huyu anaingia Yule,wanamgeuza tu Mara huku mara kule,ghetto ikawa sherehe kwa masela kila mwenye ugwadu wake anapiga tu,wakati huo demu anajifanya kazima kutokana na pombe



Basi baada ya muda mwingi kupita, mchizi akarudi ghetto na kukuta masela wapo bize kujipigia yule demu ,mchizi akaangalia halafu akasema nyie endeleeni tu kupiga,yeye mwenyewe huyoo akasepa





Kumbe wakati wana wapo bize kujipigia mchumba kwenye ghetto letu,huko nje wazee wa kazi wapo kazini.

Hapo hapo machakani Kwenye corner ya goud & jeppe streets ukifanya kama unashuka chini na mtaa wa jeppe mkono wa kushoto kuna duka jiipyaa la vifaa kama computers , speakers,deki za DVD nk limeshajazwa vitu kibao bado kufunguliwa tu



Kumbe wazee wa kazi walishalipigia mahesabu kitambo na usiku huo walikuwa kazini kusafisha duka,yaani wamekuja na vifaa vyao wamekata makufuli,wamepandisha gate kidogo then baadhi wakaingia ndani chukua mazaga zaga weka kwenye gari mpaka inajaa,wanapeleka halafu wanarudi tena kuendelea na zoezi lao



Sasa inaonekana wakati wanaendelea na zoezi lao kuna masela wa Chaka wakashtukia mchezo,so mdogo mdogo wakajisogeza sehemu husika ila kufika pale wale wazee wa kazi wakawaka,kwamba hili ni deal letu hatutaki shobo,na mtu akileta shobo mikwaju itahusika hapa,ikabidi wana wawe watulivu tu hakuna jinsi,ila wakaambiwa tulieni sisi tunamalizia malizia then tutawaachia na nyinyi mpige kazi



Baada ya jamaa kumaliza kazi kwa upande wao wakasepa na kuwaacha masela wa Chaka wanaanza kazi na wao,kwahiyo wakawa wanachukua mazaga zaga dukani na kuleta machakani kimya kimya then wanarudi tena dukani,wakawa wanarudia utaratibu huo kimya kimya


sasa hapa utaona huyu mchizi aliyewabwagia masela demu kwenye ghetto letu na kusepa kumbe na yeye alishtukia mapema huu mchongo,ndio maana akaachana na demu na kwenda kupiga kazi kimya kimya ila baada ya muda kidogo watu kibao machakani wakashtukia huu mchezo




Sasa likawa bonge la nyomi linatoka machakani kukimbilia dukani kuiba me mwenyewe nikiwa mmoja wao,sasa nimekwenda trip ya kwanza nikachukua mashine ya computer na keyboard nikaleta maghetoni kwetu then fasta nikaenda tena kuchukua computer screen na kuleta ghetto

Daaah!!nafika ghetto nakuta vile vitu nilivyoleta mwanzo havipo yaani watu wameshatembea navyo,nikaona huu ujinga gani sasa?...

Yaani me nahangaka kwenda kuiba dukani naleta ghetto halafu kuna wajinga wao kazi yao ni kutuibia sisi tukitoka kwenda kuiba tena?nikajikuta mimechoka sasa ingawa nilipanga kwenda kupiga tena speakers,nikaacha ile screen pale pale ghetto na kutoka nje



Sasa huku nje kumeshaanza kupambazuka,watu wanapita pita kwenda kwenye mishe zao,nje ya Chaka pale watu kibao wanapiga story na wengine wanaendelea kwenda kubeba chochote kilichobaki huko dukani,basi baadhi ya wakongwe pale Chaka wakapiga mkwara wa kibabe huku wengine wameshika mapanga mkononi wakiwa wamesimama mlangoni mwa chaka


Kwamba yeyeto anaenda kuiba vitu mida hii asilete machakani,apeleke popote anapojua yeye ila sio humo ndani coz kumeshapambazuka na watu wanaona kinachoendelea, so itaonekana watu wa chaka ndio wamevunja na kuiba kwenye lile duka hivyo kusababisha polisi kuvamia pale machakani



Me baada ya kuona hivyo nikaona huu msala sasa fasta nikaingia ghetto nikajipanga na kusepa kuelekea kwenye mishe zangu ingawa ilikuwa bado mapema sana,ajabu hata ile screen ya computer niliyoiacha muda si mrefu watu walishaipitia,nikajisemea tu moyoni shenzi type kabisaa hawa watu wa Chaka, kazi wizi tu yaani hapo roho inaniumaaa nimeibiwa vitu vyangu sema basi tuu, fasta fasta nikasepa nisije kukutana na mapila ya wazee halafu ikawa msala zaidi,

na siku hiyo sikurudi tena Chaka mpaka usiku mkali.
michezo hatari sanaaa hii! unaiba unaibiwa!? unagongewa manzi yako kbs au malaya tu wakisouth?
 
michezo hatari sanaaa hii! unaiba unaibiwa!? unagongewa manzi yako kbs au malaya tu wakisouth?


Malaya tu wa kwenye mabaa,yaani South ni kawaida siku za weekend mademu kibao viwanjani ila wengi wao hawana kitu mfukoni,sasa kinachofanyika na masela ni kuwanunulia mipombe na misosi then mida ikifika unasepa na mmoja wao
 
Back
Top Bottom