Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,641
Hahahahahaha yani wanakupiga mali na makofi juu ya nenda kwa usalama?Mwana hakutaka unyonge kabisaa,maana South kawaida tu kuibiwa vitu vyako then unapigwa makofi mawili matatu ,kisha unaambiwa kimbia haraka sana tusikuone hapa,na kweli unatoka mduki Kali utafikiri wewe ndio mwizi!!