maisha ya ramadhani singano "messi"

maisha ya ramadhani singano "messi"

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,993
kutoka shafiidauda.com.
sing8-1024x576.jpg
 
cant be, may be sometime ago (tbt)
 
mwaka gani hii? kama ni sasa simba tutausikia ubingwa kwa laana.
 
kutoka shafiidauda.com.
sing8-1024x576.jpg

Angekuwa Na Akili Wakati Yule Tajiri Wa Kiarabu Anataka Kumnunulia Gari La Kifahari Asingekubali Na Badala Yake Angemwambia Amjengee Nyumba au Ampangie Sehemu Nzuri. Hiki Kitoto Kinaniudhi Na Nimeshakichukia Kwani Kinatumiwa Na Azam Ili Kiharibu Msimbazi Tumfukuze Na Aende Azam Sasa Kwa Kumuonyesha Kuwa Simba Ni MAFIA TULIOTUKUKA Ktk Medani Ya Soka Haendi Kokote Na Timu Itakayoleta Pua Kumtaka Tunawawekea Price Tag Yake Kuwa 1 Billion Na Msimu Ujao Wa Ligi ATACHEZEA Benchi Mpaka ATUOMBE Radhi Wana Simba Wote. Kwanza Hata Mpira Wenyewe Hajui Na Anabahatisha Tu.
 
Mimi ni simba ila ukweli ni kwamba simba tumekuwa na tabia ya kufoji saini za wachezaji hivyo hata kwa hili nashindwa kuamini nani yuko sahihi....
 
kutoka shafiidauda.com.
sing8-1024x576.jpg

Dauda Tunajua Kuwa Ana Chuki Binafsi Na Simba Kutokana Kwamba ALITAKA KUWA Mkuu Wa Idara Ya Habari Na Mawasiliano Ya Klabu Ya Simba Lakini Watu Kutokana Na Kumjua Kuwa Ni MNAFIKI Tukamchinjia Baharini Na Kabla Ya Hapo Pia Alitaka Rais Aveva Amteue Ktk Kamati Kuu Kuu Na Muhimu Za MNYAMA Ambapo Na Kwenyewe Pia Watu WAKAMCHINJIA Baharini Hivyo Anachokifanya Sasa Ni Kueneza Tu Chuki Dhidi Ya Simba Sports Club Kwa Maslahi Yake. Mbona Haendi Pia Kufuatilia Maisha Ya Mchezaji Wa Yanga Oscar Joshua Ambaye Hayatofautiani Na Haya Ya Ramadhan Singano?
 
Angekuwa Na Akili Wakati Yule Tajiri Wa Kiarabu Anataka Kumnunulia Gari La Kifahari Asingekubali Na Badala Yake Angemwambia Amjengee Nyumba au Ampangie Sehemu Nzuri. Hiki Kitoto Kinaniudhi Na Nimeshakichukia Kwani Kinatumiwa Na Azam Ili Kiharibu Msimbazi Tumfukuze Na Aende Azam Sasa Kwa Kumuonyesha Kuwa Simba Ni MAFIA TULIOTUKUKA Ktk Medani Ya Soka Haendi Kokote Na Timu Itakayoleta Pua Kumtaka Tunawawekea Price Tag Yake Kuwa 1 Billion Na Msimu Ujao Wa Ligi ATACHEZEA Benchi Mpaka ATUOMBE Radhi Wana Simba Wote. Kwanza Hata Mpira Wenyewe Hajui Na Anabahatisha Tu.
nyumba timu ilisema itampangia kwenye mkataba na baadaya wakamruka eti mzawa hapewi nyumba. huyu mngemlea vizuri angekuwa kama messi kweli. sasa hapo pakulala, bila shaka atakuwa asubuhi chai na halfake mbili za miamia. msimfanyie hivyo mwalyanzi, amejizoelea kula wali mwingi, kambale wa usangu na maparachichi.
 
Huna Adabu Wewe!
 
Dauda Tunajua Kuwa Ana Chuki Binafsi Na Simba Kutokana Kwamba ALITAKA KUWA Mkuu Wa Idara Ya Habari Na Mawasiliano Ya Klabu Ya Simba Lakini Watu Kutokana Na Kumjua Kuwa Ni MNAFIKI Tukamchinjia Baharini Na Kabla Ya Hapo Pia Alitaka Rais Aveva Amteue Ktk Kamati Kuu Kuu Na Muhimu Za MNYAMA Ambapo Na Kwenyewe Pia Watu WAKAMCHINJIA Baharini Hivyo Anachokifanya Sasa Ni Kueneza Tu Chuki Dhidi Ya Simba Sports Club Kwa Maslahi Yake. Mbona Haendi Pia Kufuatilia Maisha Ya Mchezaji Wa Yanga Oscar Joshua Ambaye Hayatofautiani Na Haya Ya Ramadhan Singano?

Wewe zumbukuku kweli ningekuona wa maana kama ungetuambia hiki kilichoonyeshwa hapo sio kweli lakini kwa andiko lako umethibitisha kuwa mchezaji huyu anaishi katika maisha haya ya hovyo kabisa pia nimekudharau sana unapoiingiza Yanga katika huu upuuzi wenu wa kuwanyonya wachezaji wenu.
 
Wachezaji wetu awajitambui kuwa hiyo ndo ajira yao na pia wanatumika kunufaisha wengine. Wanapenda kuonekana kwenye magazeti ndo raha yao kuwa gumzo mitaani ila wasijue maisha ya mbeleni yakoje.
 
Back
Top Bottom