maisha ya ramadhani singano "messi"

maisha ya ramadhani singano "messi"

Mimi ni simba ila ukweli ni kwamba simba tumekuwa na tabia ya kufoji saini za wachezaji hivyo hata kwa hili nashindwa kuamini nani yuko sahihi....
Kaka suala hapo si kuforg mkataba either simba wapo sahh au singano yupo sahh suala hayo mazingara anayoishi kiukweli sizan kama nyinyi mnaona hayo mazingira mabaya mwenye kosa hapo sio simba hata kama kwenye mkataba inaonesha anapewa ela ya kodi na hakupewa singano analipwa kalibia laki 8 na ukichanganya na posho za kwenye mechi almost anaweza akawa anapata si chini ya milioni so frm that amount anashindwa kupanga sehemu nzur ya laki mbil na nusu akakaa?wakati huu akiendelea kuwasisitiza simba mbona hamnipi kodi?kwan huyo shaffih kina kusaga wamempangia chumba au nyumba?si anaisha kwa mshahara wake?so umri wa singano afundishwe na matumizi ya pesa yake?ok kabla ya huu mkataba anaosema umechakachuliwa si alipewa pesa ya kusaini ule wa miaka miwil anaosema yeye kweli ameshindwa nunua kiwanja hata cha milion 3 au 4 akaanza ujenzi?mambo mengi kuilaumu club ni kuionea tu,kama mshahara unalipwa unaendelea kukaa pabaya uilaumu club kwann usijilipie kodi,kupenda shida ni uchaguzi wake mchezaj kwa hapo
 
nimesoma comment kabla ya kujua aliyecomment ,nikahisi utakuwa ni wewe kweli kuangalia ni wewe ,kazi kweli, leo hii Mesi anabahatisha mpira hajui
Angekuwa Na Akili Wakati Yule Tajiri Wa Kiarabu Anataka Kumnunulia Gari La Kifahari Asingekubali Na Badala Yake Angemwambia Amjengee Nyumba au Ampangie Sehemu Nzuri. Hiki Kitoto Kinaniudhi Na Nimeshakichukia Kwani Kinatumiwa Na Azam Ili Kiharibu Msimbazi Tumfukuze Na Aende Azam Sasa Kwa Kumuonyesha Kuwa Simba Ni MAFIA TULIOTUKUKA Ktk Medani Ya Soka Haendi Kokote Na Timu Itakayoleta Pua Kumtaka Tunawawekea Price Tag Yake Kuwa 1 Billion Na Msimu Ujao Wa Ligi ATACHEZEA Benchi Mpaka ATUOMBE Radhi Wana Simba Wote. Kwanza Hata Mpira Wenyewe Hajui Na Anabahatisha Tu.
 
Hivi alikuwa alipwi mshahara??? anapeleka wapi hela? si alipewa gari huyu akasema inafanya biashara anapeleleka wazi hizo hela zote?
hata kama simba hawajitimiza makubaliano kuhusu pango lkn yeye atalalaje mzungu wa nne na kaka'ake?!
 
Wewe zumbukuku kweli ningekuona wa maana kama ungetuambia hiki kilichoonyeshwa hapo sio kweli lakini kwa andiko lako umethibitisha kuwa mchezaji huyu anaishi katika maisha haya ya hovyo kabisa pia nimekudharau sana unapoiingiza Yanga katika huu upuuzi wenu wa kuwanyonya wachezaji wenu.

Mapovu Yakikuzidi Pasuka Ufe!
 
nimesoma comment kabla ya kujua aliyecomment ,nikahisi utakuwa ni wewe kweli kuangalia ni wewe ,kazi kweli, leo hii Mesi anabahatisha mpira hajui

Kwa Kunifuatilia Kwako Hivi Unaonyesha Ni Jinsi Gani Unavyonipenda Na Pengine Hata Kupenda Labda Niwe Mume Wako Kisha Unizalie Jr Wangu.
 
Back
Top Bottom