moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,939
Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula koni kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa UKISUSA WENZIO WALA
Ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa UKITOKA MWENZIO ANAINGIA
Jamaa akagoma kwenda kazini, mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwa NIMEMDHIBITI NDO MANA HATOKI
Jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende nyumbani kwako, walipofika walimkuta mke kavaa kanga imeandikwa ULIDHANI RAFIKI YAKO KUMBE ADUI YAKO
Jamaa akaamua kusafiri siku tano ili kupunguza hasira. Aliporudi akamkuta mke amevaa kanga imeandikwa NI BORA NIMPE JIRANI KULIKO KIOZEE NDANI
Jamaa yuko ICU!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]